Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Model - TATA Year 2015 DIESEL Bei-Milion 42 negotiable Gari bado mpya haina tatizo lolote. 0784824013
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwenye Gaming CPU aje tufanye exchange na Laptop Dell Latitude E6220 Core i5 2nd Gen Processor 2.50 GHz (4 CPUs) Ram 4GB HDD 210 No Battery Nahitaji CPU yenye Kusukuma Games hizi Fifa 18 Fifa 19...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Simu yangu imepasuka hivo naitaji kioo(display+ digitizer) tuwasiliane kwa 0744879704
0 Reactions
4 Replies
575 Views
Wakuu poleni na weekend Mambo sio mazuri kwa upande wangu, nauza laptop dell E 6400 duo core. 2.4 GHZ, 2GB, 250 GB Simu 0716411720
0 Reactions
6 Replies
797 Views
Kwanza kabisa poleni na changamoto za kila siku katika kutafuta mkate wa kila siku Wakuu nawakaribisha kwenye project ya kutaka kuwakomboa wasomi kuanzia form 4, cheti, diploma, degree koz...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Natafuta chumba Dodoma kiwe self. Naomba kuunganishwa na mwenye chumba au nisaidiwe namba ya dalali. Ahsanteni!
1 Reactions
1 Replies
990 Views
Kama habari inavyo jieleza kwa anaye hitaji laini ya biashara ya mpesa aje pm
0 Reactions
6 Replies
672 Views
Samsung galaxy s7 edge inauzwa Imetumika miezi miwili Ram 4gb Internal memory 32gb Colour gold Bei laki tano [500,000] Eneo- Dar es salaam Contact- 0712518770
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina sungura zaidi ya 150 na bata 100. Natafuta wateja. Nipo Singida. 0752011156
0 Reactions
5 Replies
2K Views
tunauza mabata mzinga aina ni madume mazur kwa mbegu Hata kwa kitoweo pia mahaala ni KIBAMBA SHULE- DAR ES SALAAM KWA mawasiliano zaid tupigie kwa 0755730192 au kwa whtsup tuchek kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
TYPE :TECNO CAMON CX STORAGE:32GB CAMERA QUALITY:16MP KOTE MBELE NA NYUMA ANDROID VERSION:7.0 RAM:2GB (KUSTACK SAHAU) PRICE:230,000TSH CONTACT:0752156818 KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Am Looking for professional web and applications developers based in Dar Es Salaam. If interested please reach me; Tel: +255766640505
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Wakuu naombeni msaada wa kunijulisha mahali au duka linalouza tv used kwa mkoa wa arusha. Thanx
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba hii ya ksasa kqbisa ipo Gongolamboto-Ulongoni. Ipo centre kabisa na ni mwendo wa dakika 10 kwa bodaboda mpaka stand ya daladala Gongolamboto. ~Ina vyumba 3 na 1 ni master bedroom. ~Dinning...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada bei ya tani kwa kilimo cha alizeti tafadhali wadau Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello, natafuta gari kilipa kwa installment. TZS 450K kila mwezi. PM plz kama uko interested.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni na majukumu Nilikuwa Nataka kujua Gharama za Usafir n'a ushuru wa forodha pâle bandarini Ikiwa nitaagiza Gari iliyozid miaka 10 Toka itengenezwe Kutoka japan (Nissan civilian)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau? Kuna fremu nzuri inapangishwa katikati ya mji wa morogoro. Opposite na Vodashop morogoro. Ni fremu ya nne kushoto mwa exim bank. Kwa maulizo piga no. 0744537265. Karibuni.
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…