Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

msaada : nina tsh laki 2.5 nilipenda kujua ni duka gan la laptop kwa kariakoo ambapo naweza pata pc ya aina yeyote kulingana na bajeti yangu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wadau.. Kuna PS3 game ambayo ni used inauzwa... iko full packaged na ina padi zake mbili wireless.. Imetumika kwa muda wa miezI 6 tu tangu kununuliwa mpya kutoka dukani.. yenywe bado...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Umoja wa Ulaya (European Union) wametoa wito kwa ajili ya kuwasilisha maandiko ya miradi (Concept Notes) kwa Asasi za Kirai nchini Tanzania. Lengo mama (Overall Objective ) la E.U katika wito...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Je umewahi kumtembelea Rafiki, Jirani, Ndugu au Jamaa ukavutiwa na uzuri wa design ya Sebule yake au nyumba yake?! Na ukatamani nyumba yako ingekuwa imedizainiwa vizuri kama ya mwenyeji wako...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni rafiki yangu wa mda kama miezi nane iliyopita nilimlea tokea akiwa mdogo lakini sasa inabidi nimuuze tu maana hatuna maelewano mazuri Ni paka mpenda bata au starehe [emoji116] Pia...
11 Reactions
78 Replies
7K Views
1. Locked Mifi (Voda & TTCL) only 2.Magsafe 60w 3.Airport Express/Router. (Print wirelessly and play music wirelessly “Apple”) 4.Reapeter/ AP Price for all 120,000 Contact 0693341234...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
For All ICT Inquiries Email: [email protected] OR Call/What'sApp +255 685 610685.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Reginald Mengi kwa kuitambu fursa ya stem cell kupitia kampuni ya Phytoscience Tanzania. Bidhaa za stem cell ni kama Actual plus+, Double stem cell, Crystal cell, Snowphyforte, 2slim, Triple 3...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kampuni ya kuuza diapers Smart Baby na pedi chapa Cathy tunakaribisha wauzaji kwa kamisheni, hakuna mshahara ila unavyoleta mauzo yakishalipiwa na mteja unapata kamisheni yako papo hapo. Maana...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, marafiki na jamaa!! Naitwa Enock (Nock), napatikana Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania. Mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa kwa bei nafuu kabisa. Vile vile napokea oda...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habari wakuu ninahitaji mashine ya kutengeneza chalk.either iwe manual au auto. au kama kuna fundi anaeweza kunitengenezea hii chalk mould
1 Reactions
29 Replies
7K Views
IN GOOD CONDITION [emoji830]Unapiga starter na kuondoka [emoji830]Full Document zipo [emoji830]Inapatikan Dar [emoji830]TZ ni BGV metumika mwaka na nusu [emoji830]Bei ni fixed 1 M Kwa mawasiliano...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari wanajamvi jiko la kupikia chips la gas bei 250000/=, jiko la kuchomea nyama 80,000/= na kabati kubwa la futi 4 170,000/=,vipo yombo buza mawasiliano 0656730433
1 Reactions
13 Replies
15K Views
Habari ndg zangu Mimi nahitaji shamba la mahindi la kukodi ekali 200 kwa msimu wa 2019/2020 maeneo ya kiteto au kibaigwa kwa mwenye taarifa nzuri anicheki kwa namba 0765332398
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilikuwa naitumia ila ghafla imezimika na documents zangu muhimu nashindwa hata kuzitoa,nahitaji hata kuzihamisha.Motherboard Toshiba C55-B1082.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Lenovo Ideapad 110 (2017) Ram 2 GB HDD 500 GB USB 3.0 Graphics intel core (HD) HDMI One Key Recovery Battery Intel Processor intel R CPU N3060 1.60GHz 64 bit Windows 10 (Current windows)...
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Nahitaji mashine ya kutengeneza chaki yenye matundu 400 kama ipo weka mawasilano hapa. mashine aina hii
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauza TV yangu mpya aina ya singsung inch_25 Toleo la kwanza.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za asubuhi, kanisa letu lilinunua mitambo hivi karibuni, na tunatafuta mtu wa kutusaidia kuseti sound mixing. tuna mics kama 20 hivi, mini mixers 4, boosters 2 na mixers 2, full range...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnielekeze kwa hapa town napata wapi vibanio vya kuanikia nguo kwa bei ya jumla,na naanzia kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom