We deals in stainless still materials, mild still materials,galvanised materials en etc. For more information
[emoji338]0712659807 or 0759236351
Location:kariakoo/gerezan/mbaruku street
Email...
Habari wadau,, nauliza kwa yeyote mwenye
Kufahamu bei za wish showroom.
Na kama kuna ambae anayo anisaidie kunieleza ubora wake. Am looking for a wish car gray!
Wanajamvi
Katika kujisogeza kimaisha, nimeingia kwenye ujasiriamali wa uchapaji wa kutumia mashine za kisasa (Digital) ambapo pamoja na kufanya ubunifu (designing) ninaprint fliers, Booklets...
Nyanya ni zao la mboga linalolimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara.
Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani.
Kwa...
Habari za majukumu wana jamvi!
Nimeamua kuja kwa Mara nyingine.
Nyumba hii inayouzwa ni ya ndugu yangu, ipo banana, KITUNDA.
HOUSE DESCRIPTIONS:
location: banana (KITUNDA) 5km from banana...
Unaanzaje kuacha hii ikupite,
ab_roller hii ni roller inayokupa nafasi sio tu kupambana na kitambi bali na kushape na kutengeneza maeneo mengine ya mwili
Zinapatikana kwa tsh 35,000 tu
Tufollow...
Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room...
Machine ipo Dodoma mjini.
Sababu ya kuuza ni ilikua ya shirika na mradi umekwisha.
Haikuwahi kutumika kabisa/ni mpya.
Machine ipo full set.
Inauzwa kwa lakini tano na hamsini elfu (550,000).
Kwa...
Habari, kama title inavyojieleza hapo juu. Natafuta studio ya kufanya nao kazi ya kureokodi simulizi za hadithi kwa mkataba. Kama upo tayari nichek PM tuongee namna tutakavyofanya kazi . Asante ...
Game mpya kabisa kwa ajili ya Ps4, haijatumika hata kidogo inauzwa ni Nba2k19.
Ni mpya na original kwahiyo ukiinunua utapata access ya online content zote.
Kwa wale wasiojua Nba 2k19 ni nini basi...
Wakuu karibuni kwa ajili ya huduma ya Bima kwa ajili ya chombo chako cha moto (Gari; Bajaji; Pikipiki etc)
Nakupatia Bima ya •Mwaka, •Miezi 6 au •Miezi 3 kwa magari na bajaji. Kwa pikipiki ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.