Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta makampuni, shule, watu binafsi wa kufanya nao kazi kwa mkataba kwa kazi za computer maintenance and repair kama ifuatavyo:- 1: kufanya service zote za computer zao 2: ku repair computer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasaalam, Kwa mbaye ana mzigo wa karoti naomba ataje kwa gunia anauzaje na wapi alipo mimi nipo Dar, kama muuzaji/mkulima atapatikana Arusha itapendeza sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza computer aina ya hp na kioo cha dell Specication zake ni kama zinavyojielezea hapo chini Hard disk 500GB bei ni 285,000/= ila mazungumzo yapo Na bado ipo katika hali nzuri Karibu Sent...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tunakuhakikishia ufaulu kwenye mitihani ya Taifa!! Karibu mwambie na mwenzio Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, ! Kuna mdau anatafuta tractor (anataka kununua) aina tajwa hapo juu ambalo lipo katika hali nzuri! Kama unulo nichek PM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
*NYUMBA INAPANGISHWA SINZA* Nyumba inapangishwa sinza karibu na barabara. Ina vyumba vitatu kimoja master full tiles vyoo vya nje. Vyote unatumia mwenyewe. Maji yapo na umeme unatumia mwenyewe pia...
0 Reactions
5 Replies
958 Views
PATA MABATI YA MSOUTH ( YA AINA ZOTE) YENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA BEI NAFUU HADI SITE USAFIRI NI BURE KWA MAWASILIANO ZAIDI. PIGA 0758038496, 0652681438 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
AFRO TECH office solution tunatoa huduma za ufundi(repair) na maboresho(maintenance) ya vifaa vya maofisini na stationeries. Vilevile tunafanya network configuration kwenye photocopier pamoja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
*Hp 250 Inahitaji pesa ya haraka* Very slim and newly conditions Hdd750gb Ram 8gb Dual core Bei 490,000/= tu. Karibu dukani kwetu. Loc Dodoma Tz 1. Karibu na Azam rambaramba 2. Udom Social...
0 Reactions
5 Replies
778 Views
1. SIMU ZA MEZANI (New models) Mawasiliano 0716277365 Bei ni sh 115,000/= tu, zinaingia laini yeyote (single line), betri ya kuchaji(Inatumia chaja ya kawaida), fm-radio, inapokea na kutuma sms...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Pata dagaa Nyasa sh.15,000/= kwa ujazo wa kisado cha Lita tano na unaletewa hadi ulipo Kwa waliopo ndani ya DSM, pia kama unahitaji Kwa Jumla tunakukaribisha.. mawasiliano piga au sms 0712903435...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
DELL latitude E5520 core i3 3330m 2.20Ghz 8gb ram 500gb Hdd Inter Hd graphics 3000 2gb 15.6" Display size HDMI port 1394 port Backlit keyboad (keyboad inawaka taa usiku au kwenye giza) 5hrs...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarin jaman. Msaada Kwa anaejua kampuni nzr ya ulinzi mkoan iringa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama unahitaji logo kali za kijanja Busness Card za kisasa Brounchers na banner BAS HII INAKUHUSU NJOO NIKUFANYIE DESIGNING BURE KABISA CHEKI NA MIMI 0676031942
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Kwa anae hitaji BLENDA ORIGINAL BAS ZINAZO TAMBA NDIO HIZI 1) Brish Brenda ni yakisasa yani toleo jipya BEI ELFU 90.000. 2) Kenwood Brenda ni toleo jipya japo jina la zamani BEI LAKI 140.000...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
HABARI ZA MUDA HUU NDUGU ZANGU NNARAFIKI AMBAE NAMUHESABU KM NDG TOKA 2015 AMEKUWA BODA BODA WANGU ANANIPAKIA NI MTU NNAE MJUA NA NI KIJANA MWAMINIFU SANA ANAHITAJI MTU MWENYE PIKI PIKI AMBAE...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za muda huu wapendwa. Ninaulizia blender original nazipata kampuni gani na kwa shilingi ngapi?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu??? Naomba msaada wa contacts za shule tajwa na taarifa muhimu kama fee structure and etc kwa mwenye kujua. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunashugulika na utengenezaji wa website na system, Tunafanya installation ya software na driver za aina mbalimbali kwa printer,laptop na desktop, Tunafanya maintenance kwa hardware kama...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Back
Top Bottom