Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini, Natafuta mtu mwenye mashine kama hii hapa (kwenye picha)anisaidie kitu maana nashindwa kupata matokeo bora kwenye utotoleshaji. Shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
738 Views
waku naomba kujua bei za headset zina range vipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fridge aina ya Boss inauzwa shillingi laki tatu na nusu (Tshs 350,000) ni friji iliyotumika mwezi mmoja tu haina tatizo lolote liko vizuri linagandisha sana lipo Gongo la mboto- Moshi Bar...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Husika na habari hapo juu. nina kiwanya kiko Kigamboni, Kimbiji natafuta mtu mwenye kiwanja kwa Madale, Mvumoni ili tuweze kufanya exchange trade. Note: Masharti yote yatazingatiwa ipasavyo
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nzuri sana hazina tatizo lolote muonekano mzuri na zinagandisha pia bei ya offer 130,000/= kwa kila moja zipo mbili ZEC & INVETOR call & whatsapp 0764 876 888 wahi faster
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama title inavyojieleza kwa yeyote ama anaefahamu eneo zuri kwa kuchoma chips maeneo ya mbagala ama sehemu yeyote ndani ya dar linalokodishwa kwa bei nafuu plz msaada wake unaitajika Nina shida nalo
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Wakuu nisiwachoshe ninapesa nahitaji gari bajeti kuanzia 10m na isizidi 15m kulingana na gari itakayopatikana mwenye nayo aje pm
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Msingi wa kufanikiwa katika jambo lolote ni kujiamini, lazima ujiamini wewe mwenye kabla mtu mwingine aja kuamini. Hii ni muhimu sana kwani hakuna atae weza kukuamini kama wewe mwenyewe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa idhini tuliyopewa na International bank tutakwenda kuuza nyumba ya mdaiwa wao iliyopo kinondoni nyuma ya BEST BITE siku ya tarehe 11/1/2019 mnamo saa nne kamili asubuhi. SIFA ZA NYUMBA -Nyumba...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
A/alaikum. Jina langu Muharrami. Baadhi ya kazi zangu ni hizi hapa. Napatikana vikindu - mkuranga, njee kidogo na Dar es sallam. Uaminifu wangu katika kazi ndio silaha yangu kubwa. Popote Tanzania...
13 Reactions
31 Replies
11K Views
Karibu AUTOCOM JAPAN UAGIZE GARI KWA GHARAMA NAFUU •MALIPO AWAMU MBILI• MITSUBISHI PAJERO |2002 Engine-1990cc |4wd Mileage-57,000km Other option-AW BT NV...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Karibu AUTOCOM JAPAN UAGIZE GARI KWA GHARAMA NAFUU •MALIPO AWAMU MBILI• MITSUBISHI PAJERO |2002 Engine-1990cc |4wd Mileage-57,000km Other option-AW BT NV...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Nauza gari land cruiser prado Namba B. Ya rangi ni kijani kibichi. Ipo dar. Bei ni Mil 17
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nipo DSM, Bei 350k, ukinunua Nakupa na king'amuzi cha Azam bure Kwa anaehitaji piga 0693179844
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Fridge aina ya Boss inauzwa shillingi laki tatu na nusu (Tshs 350,000) ni friji iliyotumika mwezi mmoja tu haina tatizo lolote liko vizuri linagandisha sana lipo Gongo la mboto- Moshi Bar...
0 Reactions
0 Replies
751 Views

709 Views

445 Views

438 Views
Toyota Belta | 2005 2wd | cc1290 Other option- NV B-MONITOR P-START ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Gharama kamili mpaka usajili--11.8mil Kisaka [emoji338][emoji336]0715558258
1 Reactions
1 Replies
2K Views
ZEC Nzuri sana haina tatizo lolote muonekano mzuri na inagandisha pia bei ya offer 130,000/= call & whatsapp 0764 876 888 location sinza kwa Remmy
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom