Nahitaji nokia symbian, E5, C5, E6 etc. iwe na 3G na kwenye hali nzuri, budget yangu ni around 50k tshs. Tunaweza ongea bei..
Mwenye nayo nitext 0716683434, nipo Dar
RAM 2GB,HARD DISK 320,PROCESSOR 1.7GHZ,SYSTEM TYPE 64 BIT
Nashindwa kuapload picha. Ipo katika hali nzuri sana. Imetumika miezi mitatu tu.
Bei ni 420000 tu.
0719397568
Nipo dar es salaam
tunafundisha masomo ya,history,kiswahili,english,civics,geography,na biology kwa o-level na advance.
Bei ni maelewano na inategemea na masomo unayochukua.
Tupo kinondoni karibu na shule ya...
Wadau kama una ndugu, jamaa au rafiki yupo interest na vitu hivi.
Ni Camera Sony 3CCD DCR 2200 VX ipo katika hali nzuri na inafanya kazi kadiri upendavyo, betri yake ikiwa fully charge ina...
Simu ni mpya kabisa na original pia,
bei yake ni 220000 mazungumzo yapo,
rangi ni nyeupe,
nashindwa kuweka picha hapa kama upo serious 0714893685 namba ya whatsapp unaweza ukaacha sms pia.karibu
hizi ni mita ndogo zinazoweza wekwa katika fremu ama chumba cha kuishi,zinakuwezesha kujua kiasi cha umeme unachotumia kwa vitu vyako vya umeme,hivyo kuondoa uwezekano wa kudhulumiwa ama...
hello habari wanajamvi
nauza nguo zawadada mtumba, zenye quality nzuri
bei nafuu kati ya 6000 up to 20000
karibuni
whasap kwamaulizo nakuona sample 0659657949
Wapendwa natafuta fundi pc ntakayempa tenda ya kufanya installation za pc katika ofisi moja huku Sinza pia katika kuestablish LAN connection ..Kwa fundi yeyote mwenye ujuzi na experience hiyo...
Habari ya kazi wadau,
Naomba mwenye ufahamu wa wakala wa usafirishaji anayeweza kunisafirishia bajaji kutoka Dar kuipeleka Kahama, anisaidie mawasiliano yake.
Natanguliza shukurani.
Inatizo kidogo ktk screen kuna mstari kwa pembeni,Speaker inakwaruza kidogo,Key mbili ktk keyboard hazifanyi kazi.nipo Dsm. Nichek 0716-844978.Chek Specification zake
Intel core i3 2.4ghs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.