Nauza kiwanja kipo mbezi mwisho eneo la msakuzi,ukubwa wake ni 32 kwa 20 na 24 kwa 20 hatua za miguu,bei ni million 8.kwa mawasiliano tuma ujumbe whatsap .
samsung galaxy S3 mini original ni used na ina miezi mnne tu tangu itoke dukani, inauzwa kwa bei rahisi Tsh 27,0000. iko vivuri kabisa kama unavyoiona kwenye Pic na haina tatizo lolote.
wasiliana...
Kama una king'amuzi cha startimes, digtec ama continental, nakihitaji kwa Tsh. 45,000. zaidi napendelea startimes.
Niko Mbezi Mwisho-Dar simu 0712172026 au 0766642604
Lipo Mlandizi Kijiji cha Kikongo, Km 55 kutokea ubungo, Km saba za Rough Road kutoka Mlandizi - Morogoro Road.
Lipo pembezoni mwa Barabara inayoelekea Stesheni ya Mzenga (Mzinga?) Kisarawe...
Wadau simu tajwa hapo juu inauzwa 350,000/= ,ni mpya ndani ya boxi lake.
Model : One Touch Pop C7 7041X
Release Date : April, 2014
Design / Type : Bar
Depth : 9.9 millimeters (0.39 inches)...
Ipo kimara suka golan.ina vyumba viwili vya kulala,kimoja masta,jiko,sebule,public toilet,ina maji ndani,gipsum,tairis,madirisha ya vioo.car parking,ina kisima.simtank.kodi laki tatu.ni nyumba...
Tunatoa Mafunzo ya Software za HR (Orange HRM & HR Diamond) popote utapohitaji hata nyumbani kwa wanafunzi na wafanyakazi walio na weledi katika kozi ya HRM kwa gharama ya shilingi 50 000 kwa siku...
Eneo lipo Mwasonga-Kigamboni Dar es Salaam mbele ya Dar es salaam Zoo... shamba linamilikiwa kwa kufuata taratibu zote za kisheria na HALINA MGOGORO... bei ni shilingi millioni 62 za kitanzania...
inauzwa mitambo ya kuchongea tred au bolt nut za magari drive shaft,propera shaft, na kuchongea bush aina zote tairod hand na mambo yote ya kurepair gari liwe safi ni pm tu.
Habari ndugu, jamaa na marafiki,
Naulizia bei ya Tiles za Marmo zinazopatikana kwenye kiwanda chao kilichopo mbeya. Nasikia zile ni tiles zitengenezwazo kwa kutumia mawe matupu na ni imara sana...
Hello wasaka mali wenzangu,
Naomba kuuliza ni wapi zinapatikana mashine rahisi za kusaga chakula cha kuku hasa za mkono,uwezo wake na bei zake.Pia mwenye kujua kanuni sahihi za uchanganyaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.