Salamu nyingi wadau wa Jamii forums.
Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa...
Je una asili ya Kigoma na ungependa ujenge nyumba kwenu?
Je umejaribu mara kibao kutuma pesa nyumbani kwa ajili ya ujenzi na umeishia kugombana na ndugu ambao wamekula pesa zako?
Usiwaze zaidi...
Habari za leo wadau nawakaribisha kwenye stationery mpya iliyofunguliwa sinza kamanyola ukitoteka shekilango baada ya kituo cha legho ukivuka daraja mkono wa kulia kabla haujafika kituo cha...
Habari
gani wakuu?
Natumaini mnaendelea vyema. Ninawalatea taarifa njema ya kuuzwa kwa
kiwanja cha Barabarani katika eneo la Mwasonga Kigamboni.
Barabara kilipo kiwanja ni ile ya Kwenda...
Nauza portable laptop aina ya ACER ina 1Gb memory, storage ni 160 GB na betri yake inafanya kazi kwa muda wa masaa 6 mfululizo kwa Tshs. 300,000 tu. Laptop bado mpya nimeitumia kwa muda wa wiki...
Nina proposal ya fund source kwa charity organisations, mwenye registered charity organisation tuwasiliane na kuona kama tunaweza fanya kazi pamoja.ni PM tuwasiliane.Asanteni wakuu
Samahani nlikua naomba msaada wa kufahamishwa kujua gharama ya maji yanayosambazwa na hayo magari like uwa ni ujazo gani na gharama yao ni shilllingi ngapi?
Naweza kupata msaada wa contact zao...
Ni samsung Galaxy S inauzwa kwa Tsh laki moja tuu!! sababu inayonifanya niuze ni tatizo langu binafsi wasiliana nami kwa 0764361843... ni samsung original kutoka at&t..
Ili biashara yako iweze kufanikiwa, moja ya mambo ya msingi kufanya ni kuitenganisha biashara yako na wewe mwenyewe. mapato na matumizi ya biashara yasiingiliane na mapato na matumizi yako...
Nauza saa za ukutani zenye ubora na toleo la kisasa zipo aina tofauti!bei ni kulingana na aina!call 0686854242 or watsup for images
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums