Naomba nianze kwa kusema kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake! nakuja mbele yenu wakuu nikitangaza nia yakununua gari kulingana na urefu wa kamba yangu! nahitaji gari kati ya aina zifuatazo:-...
Make : Toyota
model : Cresta
color: Pearl
year of manufacture ; 1999
engine : 1g6619635
cc : 1980
fuel : Petrol
km 56,000
going very cheap! Only 8.55 millions
just pm or call 0658 554 992...
JF habari za majukumu
Jamani nauza kuku wa kienyeji pure kabisa kutoka Dodoma, nauza kwa bei ya elfu 10000/-@1 wapo kuku 20 majike kumi na moja na majogoo tisa, nasikitika sana kwani kuku hawa...
Natafuta chumba self container,pamoja na sebule,kiwe kwenye nyumba ya kisasa,kiwe na madirisha ya aluminium,dari ya gypsum,na kiwe na tiles,maeneo iwe ni kikuyu,area e,nkuhungu,area d,nyumba...
mwenye kuweza kunisupply power supply inayowasha display ya lexmark x854
au kunielekeza wapi nawezakupata nitashukuru.
Mafindi kibao wamecheza nayo bila msaada bawa pekee ni kupata spare yake...
sifa za kiwanja:kinatazama barabara ya shapria inayoelekea veta.
kipo mita 100 kutoka katika kibao cha chuno sekondari.
:Ni medium density (kimepimwa)...
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja ni master room, dinning room, seating room, jiko na baraza. Nyumba ni mpya ila bado ujenzi haujakamirika. Imeshapigwa bati ( za rangi ya blue)...
Huenda jina nikawa nimelikosea,wakuu naomba msaada wa kupata peni ambayo inauwezo wa kurekodi matukio yaani inakamera na inachukua tukio hata mita mia,zinapatikana wapi na kwa bei gani?
iPhone 5 inauzwa. Capacity 16 GB nyeusi. Ni kama mpya imetumika miezi 6 tu UK. Warranty ya miezi 3 ipo bei ni 800,000/- tsh. Ina pods zake na charger! Nipigie kwa 0717771515 au PM.
Ndugu wanaJF, kuna kiwanja kizuri sana kwa aajili ujenzi wa Kituo cha Mafuta, kinapatikana katika Manispaa ya DODOMA. Kina ukubwa wa Ekari Tatu kipo barabarani kwenye barabara mpya ya...
Refer to the above heading
Natafuta Tripod nzuri kwaajili ya kazi tajwa hapo juu, Kama umetumia plz advice me nitafute ya aina gani na of which reasonable height.
Am using Nikon d3200
sorry for...
Habari wadau,
Natafuta nyumba ya kupanga bagamoyo mjini maeneo ya sanaa au jiran na hapo,natafua nyumba yenye chumba kimoja,siting room na choo cha kujitegema dau langu ni kati ya 100000 na 120000...
Habari wana JF.
Mimi ni mwal. kwa taaluma yangu na nimeanza kazi mwaka jana wilayani mbinga, kutokana na ukweli kwamba swala la mishahara midogo katika kada yetu imekuwa ni kilio cha muda mrefu...
Habari wana JF.
kwa anayehitaji fremu za bei nafuu za biashara maeneo ya Buyuni CCM (Kwenye Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni) tuwasiliane kwa namba 0657621427. Fremu ziko sehemu nzuri kwa biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.