Achukibesi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 234
- 78
Ndugu wanaJF, kuna kiwanja kizuri sana kwa aajili ujenzi wa Kituo cha Mafuta, kinapatikana katika Manispaa ya DODOMA. Kina ukubwa wa Ekari Tatu kipo barabarani kwenye barabara mpya ya DODOMA-ARUSHA. Only serious buyers are invited. Please Pm me for more details.