Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani niko na duka la vyakula na matumizi mengine ya nyumbani, nahitaji mtu wa kuwa naye share, maana nina kazi nyingi sana hivo siwezi kuwa dukani Muda wote, duka lina mtaji wa 4. 5 million...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ok naona watu wengi wanalalamika kuhusubei..........! Nakuhakikishieni kwamba kwa bei hiyo hautakuja jutia kwa hapa Arusha na sehemu yenyewe, najua hii barabara ya EAC na mambo mengine yatayojiri...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu,tafadhali nahitaji mitungi ya nje(ciss) ya epson S22.
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Nahitaji kusafirisha pikipiki yangu mpya kwenda Tabora kwa bei nafuu. Msaada wanajamii forum, nahitaji mawazo yenu au kama kuna kampuni inahusika na usafirishaji mizigo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Solar panel ya watt 100 kutoka germany inahitajika,iwe mpya kama unazo ni PM uniambie bei nije kuchukua
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini za kutwa! Kuku kutoka dodoma, kama unahitaji kuku wapo kwa bei hiyo mimi siuzi kama unahitaji tuwasiliana mimi nitakuwa agent wako nitakae kuwa nakununulia kisha nakutumia halafu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inauzwa kwa taarifa zaidi ni pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LAP TOP TOSHIBA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1) Kiwanja chenye square metre 900, sifa zake ni kama ifatavyo..... Kiko umbali 0.5 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe. kiko mita 50 kutoka barabara ndogo za mtaa. Umeme...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
harrier ya mwaka 2005 2500cc VVTi machine km 68000 inauzwa bei ni milioni 30 mawasiliano zaidi piga 0714358610
1 Reactions
4 Replies
2K Views
kusupply madukani na kwa wadau wengine, sasa mzigo wetu (KIMI DEV. CONSULT LTD) umechelewa na sitaki kumpoteza mteja wangu fulani mwenye uhitaji wa haraka. Kwa anaye fahamu au yeye ndo muuzaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nna elfu 70 nataka simu ya android yoyote ambayo itakua na uwezo wa kusupport WhatsApp,Instagram,Viber n.k Bila wasiwasi wowote.. kama unayo njoo tuongee biashara. Nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina NADIA nauza 5.8ML Nataka kununua Virtz au kama nikiparta mtu mwenye Virtz anayehtaji Gari kubwa pia naweza elewana naye; kama unavyoiona kwenye Picha iko kwenye hali nzuri tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi, Kama kuna anayetafuta huduma bora za WEBSITE HOSTING & DESIGN tuwasiliane; Kwa Tsh. 80,000/= tu kwa mwaka unapata website ya jina upendalo mfano. (www.myname.co.tz/www.myname.com) Kwa wenye...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Nyumba ya kupanga inatafutwa singida mjini maeneo ya sabasaba iwe na vyumba vitatu au viwili vya kulala,sitting room,jiko na choo mwenye nayo karibu PM au tuwasiliane kwa 0714358610
0 Reactions
0 Replies
749 Views
suruhisho la matatizo ya ngozi kama makovu, mabaka nk tunazo creme na scrub tunazoziamini na zina guarantee na kuna watu wameshatumia kwa matokeo mazuri! usione aibu rudisha confidence yako kwa...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari wana JF.
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Nataka niwe nauza kuku wa kienyeji natoa mikoani napeleka Dar es Salaam. Sasa cjajua mikoa gani iliyo karibu naweza kupata hawa kuku na kwa bei gani. Nataka kuanza na kuku kama 200 hivi. kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu natafuta chumba ferry kigamboni, kiwe karibu na eneo la ferry. Mwenye kujua anitumie text 0768454139. Natanguliza shukrani,,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda wakuu, natafuta simu za kizamani za nokia au sony ericsson kama nokia n86 zenye camera yenye megapixel 8 au zaidi hata isipokua smartphone iwe na uwezo huo wa camera. Mwenye nayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…