1) Kiwanja chenye square metre 900, sifa zake ni kama ifatavyo.....
Bei ni shilingi million 7,500,000.j
2) Kiwanja chenye square metre 800, sifa zake ni kama ifuatavyo.....
Bei ni shilingi million 7,500,000 na kipo sehemu nzuri zaidi ya hicho cha kwanza.
Picha ni kama inavyoonekana hapo chini.
Viwanja havijapimwa ila ni vizuri kabisa hutajutia kununua.Wakuu viwanja hivi bado vipo.....kwa muhitaji tafadhali ni-PM

- Kiko umbali 0.5 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe.
- kiko mita 50 kutoka barabara ndogo za mtaa.
- Umeme namaji vipo.
- Maeneo yamejengeka na yanakaendelea kujengeka.
Bei ni shilingi million 7,500,000.j
2) Kiwanja chenye square metre 800, sifa zake ni kama ifuatavyo.....
- Kiko umbali 0.6 km kutoka barabara kuu itakayo kigamboni kwenda Kongowe.
- kiko mita chache sana kutoka barabara ndogo za mtaa.
- Umeme na maji vipo.