Nipo dar,
Bei ni 350,000...
Jina linabadilika baada ya wiki 2 ,
Line hazijawah kutumika ni mpya,
Mwenye kuhitaj ani PM alaf tutaongea kama ana maswal zaid, aache na namba yake ya simu...
Kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka kinauzwa kimbiji kigamboni km 1 toka baharini na kiwanda cha cement bei milioni 6, kwa mawasiliano 0657868981 nb eneo halipo katika mradi wa mji mpya na sababu...
Wadau naomba kuuliza. Mimi ni mfanyakazi wa serikali,nahitaji mkopo. Nahitaji kujua mfumo wa makato wa CRDB na NMB. Kuna mtu alinimbia CRDB wanatumia reducing system na NMB wanatumia direct...
Hello wanajamvi,natafuta chumba chenye vyumba viwili,kiwe ndani ya fensi,kiwe maeneo ya kimara.Budget ya malipo iwe maximum laki mmoja kwa mwezi.Mwenye information zozote ni PM please.
Kwa wanafunzi wote mnaosoma hizo combination tatu au una mwanao anasoma mojawapo kati ya Comb hizo,tunatoa private tuition kwa ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu sana....Hii ni special kwa wale...
Habari ndugu zangu,
Kwa wale walionunua simu za Tigo, Airtel, Vodacom au kutoka mtandao mwingine wowote wanaotoa offer ya simu aina ya Huawei Ascend Y300 Y301 Y330 Y511 na Y530 nazifungua ziweze...
Wadau habari za mchana wa leo?
Ninahitaji kununua mashine (portable) ka ajili ya utambuzi wa noti hasa US Dollars.
Kwa mtu aliyonayo AU anayejua wapi ninaweza kupata,tafadhali anijulishe kwa...
Tatizo la hii gari ni Hand brack na gear namba 4 inachomoka.
Cc 1800
Type: Toyota Avensis
Year: 2001
Fuel: Petrol
Namba : T360 BEE
Ipo barabarani..
Engine: 7A
Manual Car
BEI 3,500,000
Naomba...
Kiwanja kinauzwa kikiwa na nyumba ambayo haijamalizika yenye vyumba viwili vyote ni master,sitting room,jiko,store na public toilet.
kiwanja kimepimwa na kina hati
bei ni milioni 70 mazungumzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.