Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama mtu anauza hizo earphone za iphone please Anitajie bei na kama unajua wapi zinapaitikana Pia si mbaya ukinielekeza, naomba ziwe original Thanks in advance
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji ani-PM kwa melekezo na kumuona Bei ni rahisi sana, Tshs. 800,000/= (cash, one time payment) Mbwa ana chanjo zote, yupo healthy na mnunuzi atapatiwa kadi ya clinic. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kijana anaitwa kwa jina Kassim saad fundi mzuri wa kutengeneza Computer za desktop au Laptop yupo hapo Dares-Salaam namba yake ya simu hizi hapa mbili ya kwanza 0716337032 na namba ya pili ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
white na black zote zinakwenda kwa laki mbili na ishirini. Call: 0655003510
0 Reactions
5 Replies
981 Views
kwa anayehitaji kiwanja chamanzi au mbande dar es salaam vipo sehemu nzuri.0656 25 18 74.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shamba la hekta 40 linauzwa .lipo sehemu zuri sana linafaha sana kwa kuanzisha shule au chuo.karibu na shamba la bakheresa kisarawe 0713-95-92-90
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauzwa Gari Toyota Nadia .hipo kwenye exccelent condition.ina AC.music .contact 0713 95 92 90
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unayo sema na bei yake.
0 Reactions
4 Replies
762 Views
Hello Jamani, kwa wale wenye taaluma ya ujenz Nnahitaji fundi ambae anauwezo wa kuchkua ramani ntakayo mpa na kusmamia ujenzi wa simple house hadi itakapokwisha/ Sifa za muombaji 1. Mzoefu 2...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nnayo Iphone 4 yenye 32gb nataka kubadilishana na Iphone 5 niongeze na Pesa juu,...simu ipo kwenye halo nzuri Sana..ambaye yupo interesting anipm tufanye biashara...me nipo Arusha..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa anayehitaji kiwanja chamanzi au mbande dar es salaam check me 0656 25 18 74
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba mpya na yakisasa, ipo kwenye mazingira mazuri kabisa. Ipo tabata segerea chama, surveyed area with a title deed. Its only 200mil negotiable. If your interested give me a call +255 785 115 999
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama unahitaji PM tufanye hiyo biashara.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayehitaji Tofali za Paver, mafundi wa kutengeneza na kujenga paving iwe ni nyumbani au ofisini, unaweza kupata huduma hiyo kutoka kwenye kampuni yetu ya DOVE & COMPANY LTD kwa simu...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Imetumika ila bado iko pouw call 0656063933 or Pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Below are some of the ways to make money online. Anybody with specificexperience/expertise may kindly share his experience. 1.Domain parking- it involves you buying domains then leaving them...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina passion sana na mambo ya urembo na modelling..mavazi na vitu vinavoendana na urembo..mwenye clue where i could get a modelling agency anisaidie wadau.muwe na mchana mwema.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
nishauza tayari thanks kwa wote
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nataka kujua vitu ninavyotakiwa kulipa nikiagiza gari na jinsi ya kufanya calculation
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…