baraka607
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 844
- 168
white na black zote zinakwenda kwa laki mbili na ishirini.
Call: 0655003510
Call: 0655003510
...hivi tunaweza kutambuaje simu feki...? maanake jambo hili linanipa wakati mgumu sana wakati wa kununua simu...
Simu za blackberry ni rahisi tu ndugu . Ila android kidogo znanpa shda ata mm .
Kivp mkuu tuambie na sisi kuhusu BB