Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

This can't be real. Are you giving free money? No, we are not giving away free money. We are paying you in order togenerate traffic to our website. We will get paidfrom our advertisers...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
nimemaliza udom Bsc-ed degree (chemistry&biology),physics pia nafundisha o-level!unashule yako au college yako nicheki 0763490332,mazungumzo yakiwa mazuri naweka mkataba kabisa.......karibu...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Salaam wakuu, im looking for a project car, preferably a 1956 Ford F100 Pickup, Inatakiwa iwe haijaliwa na kutu, ikiwa na parts zake nyingi itakuwa vizuri zaidi. Bei Maelewano. Pia kama una gari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni Nyumba ipo Sinza kwa Remi, mtaa kama wa3 kutoka barabarani,Sinza B
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tsh. 125,000 niko dar magomeni mwembe chai contact 0758929087
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa ya bedroom nne mitaa ya Njiro container, Arusha. Mtaa wa nyuma ya stand ya container. Inahitaji matengenezo kiasi ila unaweza ishi. bei ni 81M (81,000,000) Kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa ya bedroom nne mitaa ya Njiro container, Arusha. Mtaa wa nyuma ya stand ya container. Inahitaji matengenezo kiasi ila unaweza ishi. bei ni 81M (81,000,000) Kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salama wakuu? Nahitaji kununua satellite dish na decoder nzuri ambazo zitanifaa kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Bei na ubora vizingatiwe. Twafadhari. Natanguliza shukrani. Sent from my BlackBerry...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
kutana na house designers wataalam na wazoefu.. wanatumia teknologia ya kisasa ikiwemo 3d.. jipatie ramani ya jumba ya ndoto yako kwa bei nafuu mawasiliano 0714 155854
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mercedes Benz Ml 350,Engine 3.7L,Mileage 94,000,year-2005,haijawahi hapa Tanzania,bei ni sh 40mil,wasliana nami kwa namba hii 0657 690 970
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IPAD 4 BLACK, 64 GB, WIFI ONLY,USED FOR 3 WEEKS INAUZWA 1 600 000. Hii Ipad ni original kabisa imenunuliwa marekani na imewasili TZ on 7 july 2013, jamaa anaiuza kwa sababu amepata matatizo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nilikua napitia ktk web ya be foward,nimeona nikaipenda rav 4 ya mwaka 2000 automatic, odo ni km 74000. Gharama hadi kufika dar ni usd 5,777 ambayo ni total cost(insurance na clearence) nikipiga...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Biblia za kusikiliza kwa Kiswahili PATA Biblia , Agano Jipya kwa njia ya maigizo ya kusikia katika Kiswahili ni toleo pekee la Biblia ya kusikia liliyo na takriban wahusika 180 tofauti pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya sayansi mpaka victoria kijitonyama sifa za chumba ni:- 1. Iwe chumba na sebule self contained na jiko, maji na umeme. 2. Ndani ya fensi (sio lazima sana)...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
ukubwa ni hatua 20 kwa 15,umeme,maji,barabarai vipo, eneo zuri tambambarare bei maelewano anayehitaji anipm
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa waweza pata mipira ya miguu na mikono inayotengenezwa nchini Tanzania, huduma ya kupiga logo yoyote uitakayo mteja ni bure. Wasiliana nas kwa namba +255655900087/ +255763490288
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina Nokia original single line X2-01 full of whatsap, twitter, online facebook, camera safi, phone memory 56MB, voice clarity, haijawahi kufunguliwa wala kusumbua chochote, headphone pini kubwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ninahitaji sana kupata accordian mwenye nayo naomba tuwasiliane 0754415306 au 0787415306.mimi niko KAHAMA.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hallow, jaman mwenzenu nna asali mbichi from tabora nauza laki na thelathini kwa dumu la lita ishirini. Kwa mawasiliano 0785734279
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Toyota cresta bei ni 6m kwa maelezo zaidi piga 0774439364
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Back
Top Bottom