Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Suzuki escudo milango mitano inauzwa bei ni sh milioni sita na nusu maongezi yapo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tittle inajieleza, mwenye hiyo kitu ajitokeze hapa tusemezane
0 Reactions
0 Replies
979 Views
wakuu kwa yeyote anayeuza straw cutting machine kwa ajili ya kukata majani makavu kama ya maganda ya ndizi,au mpunga yenye uwezo wa kukata nusu tani kwa siku,bei iwe affordable,nmeweka sample ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simi inauzwa Samsung SGH-i917R windows phone bei laki 2naelf sabini wi-fi connection network simu 0712690760 ins mwezi tokea inunuliwe utapewa chaji na headphone Ipo dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Nahitaji solar backup plan ya nyumba yangu ya kuishi iwe ina uwezo at least kuwasha fridge ya kawaida, tv set,taa za ndani na nje plus accesories ndogondogo kama laptops na kuchaji simu. nipo dsm...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Model LG c900 2-carrier :AT&T wireless 3-Software :windows phone7 4-total storage:14.94Gb 5-Available storage:14.02Gb bei laki2wi-fi internet full speed mawasuliano 0712690760 ina siku 7...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Wakuu, Mwenye simu tajwa hapo juu naomba inijuze ninahitaji kwa haraka.
0 Reactions
2 Replies
980 Views
natafuta sonyericsson u1i kwa 170000 kama unayo ntumie text kwa 0718928267
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Habar zenu wana jf. Kuna nyumba kubwa ya vyumba vitatu,dining table,sebule kubwa, jiko na public toilet. Chumba kimoja ni master. Kodi ni shiling lak mbili na sitini tu kwa mwezi na inahitajika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
LIMITED TIME OFFER (ZOTE NI MPYA) BRAND NEW never been used Acer aspire one d270 Windows 7 with HARD DISK 320GB Selling price tsh 500,000 Dell streak 7 wifi + 4G sim unlocked TABLET with 16GB...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NYumba kubwa inapangishwa ina sebule,vyumba vya kulala vitatu kimoja wapo ni master,jiko ,dining table, na public toilet. Kodi ni shilingi laki mbili na sitini elfu tu kwa mwezi. Unalipa kodi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninataka kuchukuwa mtoto wa jinsia ya kike mmoja ili kwana neema na majaliwa ya Mungu nimsadie kumtunza mpaka Mungu atakaponichukuwa duniani. Ningalipenda awe na miaka 4-5 ili iwe rahisi kumtunza...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Inauzwa kwa USD 215 tu, for serious buyer Just ni PM au email ; [email protected]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I am a post-graduate research student looking for a place to rent for 6 to 9 months. Fully furnished or partly furnished preferred but can also take an unfurnished place in the following areas...
1 Reactions
4 Replies
926 Views
Yapo mawili yote yanatumia diesel Moja ni 18KVA asking price 18mil Jingine ni 300KVA asking price 55 mil nisameheni nimeshindwa ku upload picha but aliye interested anitumie email yake...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
nauza sasaa kwa laki 3 black colour :1 GB mmc: cable : cover check me 0712 507060 ...price negotiatable:-)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Nyumba inauzwa ipo Kinondoni Mkwajuni. Sifa za Nyumba: Nyumba kubwa ina vyumba vitano, vitatu vinawapangaji viwili vimeezekwa havijawekwa milango wala madirisha. Na kimoja...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau JF, ardhi nusu heka inauzwa Kimbiji, 0.5km kutoka barabara kubwa. Bei sh. Milion 5. Piga 0767833995 au ni-PM kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa mtaa wa tabora ilala boma......nyumba ipo karibu na barabara bei milion 400....maelewano yapo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu. kama heading inavyojieleza, najua Watanzania wapo waliosomea na kubobea katika hilo, hivyo basi mwenye ujuzi na utaalamu wa kile nnachokihitaji nnaomba tuwasiliane tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom