wakuu kwa yeyote anayeuza straw cutting machine kwa ajili ya kukata majani makavu kama ya maganda ya ndizi,au mpunga yenye uwezo wa kukata nusu tani kwa siku,bei iwe affordable,nmeweka sample ya...
Simi inauzwa Samsung SGH-i917R windows phone bei laki 2naelf sabini wi-fi connection network simu 0712690760 ins mwezi tokea inunuliwe utapewa chaji na headphone Ipo dar es salaam
Nahitaji solar backup plan ya nyumba yangu ya kuishi iwe ina uwezo at least kuwasha fridge ya kawaida, tv set,taa za ndani na nje plus accesories ndogondogo kama laptops na kuchaji simu. nipo dsm...
Model LG c900
2-carrier :AT&T wireless
3-Software :windows phone7
4-total storage:14.94Gb
5-Available storage:14.02Gb bei laki2wi-fi internet full speed mawasuliano 0712690760 ina siku 7...
Habar zenu wana jf. Kuna nyumba kubwa ya vyumba vitatu,dining table,sebule kubwa, jiko na public toilet. Chumba kimoja ni master. Kodi ni shiling lak mbili na sitini tu kwa mwezi na inahitajika...
LIMITED TIME OFFER (ZOTE NI MPYA) BRAND NEW never been used
Acer aspire one d270 Windows 7 with HARD DISK 320GB Selling price tsh 500,000
Dell streak 7 wifi + 4G sim unlocked TABLET with 16GB...
NYumba kubwa inapangishwa ina sebule,vyumba vya kulala vitatu kimoja wapo ni master,jiko ,dining table, na public toilet. Kodi ni shilingi laki mbili na sitini elfu tu kwa mwezi. Unalipa kodi ya...
Ninataka kuchukuwa mtoto wa jinsia ya kike mmoja ili kwana neema na majaliwa ya Mungu nimsadie kumtunza mpaka Mungu atakaponichukuwa duniani. Ningalipenda awe na miaka 4-5 ili iwe rahisi kumtunza...
I am a post-graduate research student looking for a place to rent for 6 to 9 months. Fully furnished or partly furnished preferred but can also take an unfurnished place in the following areas...
Yapo mawili yote yanatumia diesel
Moja ni 18KVA asking price 18mil
Jingine ni 300KVA asking price 55 mil nisameheni nimeshindwa ku upload picha but aliye interested anitumie email yake...
Heshima kwenu wakuu. Nyumba inauzwa ipo Kinondoni Mkwajuni.
Sifa za Nyumba: Nyumba kubwa ina vyumba vitano, vitatu vinawapangaji viwili vimeezekwa havijawekwa milango wala madirisha. Na kimoja...
Habari za leo wakuu. kama heading inavyojieleza, najua Watanzania wapo waliosomea na kubobea katika hilo, hivyo basi mwenye ujuzi na utaalamu wa kile nnachokihitaji nnaomba tuwasiliane tafadhali...