Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari yenu Wadau kwa yoyote aliyemwenyeji au mkazi wa Arusha Natafuta Nyumba ya Kupanga Maeneo ya Mbauda au Shams iwe na gharama Kati ya 100 au 150k atleast kuwe na Maji,umeme na Geti na pia iwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nipo dar i need a blackberry kwa budget hyo ya 130,000 ntashukuru kama wadau mtaweza nifanikishia hli.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni blackberry curve 8900 ni mpya imetoka south africa. inakuja box lake, usb, na charger. inapatikana dar es salaam. kwa mawasiliano . 0718355635 bei 260,000
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni B bold 9700, piga 0657772693 tufanye biashara fasta.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BB Bold 9700 =250,000 BB Bold(3) 9830=350,000 Piga 0657772693
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta Blackberry Bold 9900 pamoja na sitemirror ya kushoto, power windows nne za toyota Allion.Mwenye nazo an PM au 0767 507 222
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau mimi naishi arusha na nahitaji simu tajwa hapo juu au simu yenye uwezo wa kufungua pdf na skype na iliyoke efficient kwenye internet. Nina shs 200,000 cash.tuma text kwa 0713704914 au ni pm.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
I am selling a new model toyota caldina 2003 imported in september 2012. It is in very good condition. Reg is T...CCV. Other details..1800cc, 78,000km (digital), VVTI, silver calor, automatic...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahali : Mikese Morogoro,karibia na sehemu wanapopimia magari ya mizigo na mikoani,umbali kama mita 200 kutoka barabara kuu. Ukubwa : Heka tano Ziada : Kinafaa kwa uwekezeji katika shule au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
i will buy old iphone 3gs. Nitumie details na picha, na kama ipo tatizo lolote.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina shilingi laki moja ninahitaji simu nzuri isiwe mchina pia iwe inasuport whatsapp nictafute kwa 0718512630... Nipo Dsm
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Natafuta simu nzuri, budget yangu 100,000/-tshs. Preferred phones- samsung pocket sony ericsson mini xperia ikuwe smart phone. na kama ina problems, labda nitanunuwa lakini muzaji akuwe wazi.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, jamani ninaombeni ushauri nataka kufungua duka la bidhaa reja reja hapa Dsm. Tatizo sina idea na hiyo biashara najua hapa kuna wataalamu. kwa mtaji wa sh. mil 2.5 je naweza na...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Nauza simu blackberry bold 9900 ipo kwenye hali nzuri kama mpya bei 650000,,nipigie 0717592335
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza ,mwenge ,kijitonyama ,iwe na fence ya ajili ya parking ya magari mwenye taarifa nijuze humu then nita ku pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
inaitajika iphone5, bajeti ni 900k, contact0752490931
0 Reactions
0 Replies
784 Views
mzigo wa simu used but in a mint condition. Kuna HTC wild fire za kumwaga kwa lak 220,000/= Kuna HTC desire za kumwaga kwa 270,000 Kuna samsung galaxy s1 za kumwaga kwa 420,000/= Kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza original sumsung chat 222 mpya kabisa laki 1 na 20 haijatumika kabisa hata betri haijachajiwa.
0 Reactions
8 Replies
42K Views
Nauza laptop ibmgb 80haina betri,na chaja yake ni nzima ila haiko katika hali nzuri.bei maelwano
0 Reactions
1 Replies
992 Views
kipo maeneyo ya ponde karibu na barabara ya rami kutoka kigamboni feri ni km 20 kwa gari ukifika ponde kilipo ni ni mita 150 tuu toka barabara ya rami ki upana wa 67kwa 55 kasikazini kusini 70...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom