Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Touch and type with a stylish look, 5 mp camera with a flash, 8GB internal memory, with a card slot tht supports up to 32GB microSD card. Used but in mint condition. The price is Tsh 450,000...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukubwa heka 10 lina mikorosho na minazi, lipo karibu na makazi ya watu ni zuri kwa matumizi yoyote, gari linaingia, bei Tsh 2m kwa heka, nitafute kwa 0717000990/0764434673
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza hii camera ya Fujifilm ambayo imetumika Uingereza na ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote.In 10.0MP na inakuja na charger pamoja na Battery mpya 4 za kuchaji pamoja na memory card ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anatakiwa mhudumu kwa ajili ya kumhudumia bibi mzee-hajiwezi,kazi kubwa ni kumpikia na kumuosha. Anayetakiwa ni mhudumu wa kike,umri kati ya 18-35,kabila yoyote,kazi iko DAR.,kula na kulala...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Watanzania wenzangu. Ninaombi maalumu ninatafuta ofisi ya kupanga kuna kampuni nimefungua ndio natafuta ofisi, uwezo wangu wa kulipia pango si zaidi ya laki moja. Bahati mbaya sina pesa ya...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
inahitajika nyumba ya kupanga dar,maeneo ya kinyerezi,ukonga,kurasini au segerea,iwe na maji,ndani ya fensi,hata kama haina maji,basi iwe na tank la kuhifadhia maji,vyumba vitatu.Aksanteni sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
friji ya kisasa kabisa na ipo katika hali nzuri.kwa mawasiliano 0714-943684
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wana JF Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe......napendelea iwe maeneo ya TCC ama upande wa Mchicha. Iwe na room moja na sebule yake pia. Regard, Bwana Kimbunga
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Wadau poleni kwa ufupi wa Tangazo. Mosi, tuna import na export bidhaa kuja China na kutoka nchi mbalimbali, ikiwapo Tanzania. Tupo nchini China. Tunatafuta wadau wa kudumu watakaokuwa tayari...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Nina shida napokea ht nusu na nyingine utamalizia bei ni mill 1.3
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wadau nahitaji kiwanja kwa wakazi wa arusha chenye at least ukubwa wa 22 x30. Hii ni minimum kama kipo kikubwa zaidi ni vema pia. Kiwanja kisiwe porini sana na pia kisiwe mjini. Kiwepo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, merry x-mass!!! Nilinunua ka simu kangu ka blackberry #8100 nilipojaribu ku download skype inasema hii simu hai support skype. Ninachotaka kujua ni blackberry kuanzia number ngapi ina...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Mzigo mpya umewasili wa dell laptop kwa sh 350000 wahi kabla mzigo haujaisha.... wasiliana nasi kwa 0764435828..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Memory card mpya za 2 gb na warrant ya mwaka mzima kwa sh elfu 6500 tuuuuu!!! nicheki kwa 0764435828 au 0718512630 nipo Mabibo wahi mzigo ni mchache...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wapendwa naomba mnisaidie sehemu yeyote wanapouza rim paper kwa hyo bei lakini isiwe za wizi,ASANTENI SANA
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Jaman ivi simu gan ya htc nzur, coz nataka kuchukua , sema sijajua ipi itafaa! Alaf kingine mbona naona watu wengi wanauza htc? Au hazina ubora?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
unaweza kudownload bure ktk website hii http://arnold.wen.ru karibu na asante sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
GARI INATAKIWA HARAKA SANA....CRESTA TOYOTA FOUR OR SIX CYLINDER CONTACT [email protected]
0 Reactions
11 Replies
2K Views
mambo vipi? okay, mimi leo nimekuja na used iPhones mbalimbali kwa affordable price. iPhone 3GS kwa tsh 3.5k iPhone 4S kwa tsh 5k iPhone 5 kwa tsh 8k kwa anyone who is interested anaweza...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
computa hp flat screen specification zake pentium R dual-core cpu E5400 @ 2.70GHZ 2.69GHZ,1.96GB OF RAM inauzwa ipo kwenyehali nzuri nimetumia miezi nane n original natoa galantii mwaka 1 kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom