kuna nusu eka mil 4 lipo km 5 kutoka main road ya kigambon kongowe kituo cha kwa pinda na km 18 kutoka ferry. Unapimiwa kadri mfuko utakuwezesha. Karibu
We are organizing Training on Trade Policy and Trade Law, for more information about your needs contact us at [email protected], We will also haiving a training on WRITING SCIENTIFIC PAPER...
Eneo la ekari tano linauzwa lugoba,lina deposit content kubwa sana la kuchimba kokoto. its very potential. bei ni 25milioni per hekta. mtu mwenye nia ya dhati tuwasiliane tafadhali
Salaam Wadau,
Naomba msaada wenu juu ya taratibu na Gharama za Kupata Building Permit ya Ghorofa 1 kwa ajili ya makazi, eneo la Kibada, Kigamboni.
Kiwanja ni cha mradi (Kimepimwa),
Pia Ramani...
Nyumba inapangishwa Kimara Temboni (one km from the main road). Vyumba vitatu vya kulala including master bedroom, sebule kubwa, dining area, kitchen, public toilet, store, eneo la hekari moja...
Habari wanajf,kwa yeyote mwenyewe ana namba ya dalali maeneo ya changanyikeni naomba anisaidie.
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba viwil,sebule,jiko na choo cha ndan(self contained)..iwe...
Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Makabe (KM 3.5 kutoka Morogoro road), Mbezi Msakuzi(KM 5 kutoka Morogoro road), na Kwembe-Kibamba(KM 2 kutoka Morogoro road). Mita 20*25 bei 3.5M, Mita 20*25 bei 3M...
Una vyumba viwili vya kulala na sebure, jiko na uzio. madirisha (sliding windows) shs kodi 350,000. Kodi ya mwaka.
kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409.
Mtu akisema anauza nyumba ujuwe bei yake itakuwa ni kati ya millioni 40 hadi mia na kuendeleya mbona sioni nyumba ambazo watu wenye kipato kidogo wanazomudu kununuwa mfano bei ya millioni 7 hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.