Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ina vyumba viwili kimoja master na choo Cha public sitting room pamoja na jiko Kodi laki nne kwa miezi 6 (400,000) Nyumba ipo nyuma ya stendi ya mabus ya Magufuli Mbezi
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Pendezesha nyumba yako kwa aluminium (kwabei nafuu kabisa) nakufikia popote ulipo. Napatikana dareslaam (mikoani pia nakufikia). 0686141321.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa mahitaji ya mwalimu wa masomo ya ziada nyumbani (privately) wasiliana nasi kupitia +255653175533
2 Reactions
3 Replies
518 Views
Habari za Leo wana jamii forum Nina maeneo mawili nayauza yapo Kibaha Kiwanja kipo maili moja(35*25) eneo linaitwa Loliondo Karibu na stand mpya Bei ni 15M (maongezi yapo) Nyumba ipo kibaha(eneo...
0 Reactions
1 Replies
510 Views
Dell Optiplex 7050 Gaming Machine Core i7 7700 Ram 8gb HDD 1TB Nvidia gt 630 ipo vizuri kwa gaming na video editing Njoo inbox na offer
1 Reactions
2 Replies
755 Views
habari nauza fridge lita 109 bado mpyaa imetumika kidogo haimjui fundi hautajutia inapatikana manzese dar es salaam fridge sio kubwa sana ni futi 4 urefu bei 350000 sold sold sold sold
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Karibu sana kwenye Kulasa za Dovillen Property Facebook, Instagram, twitter, Jamiiforums nk Kama unahitaji kuuza au kununua nyumba, viwanja,yard, maeneo ya kujenga petrol station nk...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Gramu 54, Tshs 3,000,000/=, Gramu 40 rangi ya Disel Tshs 2,000,000/= na Gramu 25 Tshs 1,000,000/=
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu inakuaajee Nataka nichukue Mali moja kati ya hizi zote naztaka lakini nataka nichukue moja tu naombeni ushauri ipi nipite nayo kati ya Samsung S10 plus au iPhone X plain S10+ ram 8gb...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau. Nimebaki na kichwa tu cha Mini playstation 3 bila pad, ina cable ya HDMI na ya kuchaji pad tu. ni used in best condition300,000 tu. Karibuni sana. 0783985530.
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Jiko limetumika miezi 4 lipo vizuri halina tatizo lolote nakupa na pipe yake ya 1.5m jamani kwa anaetaka jiko ni orignal Kama unataka na upo serious bei yangu ni hiyo 80k nicheki kwa whatsup,txt...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Je gari yako([emoji594])imekua ikila mafuta isivyo kawaida([emoji618]), je imedabili mngurumo wake na inakosa nguvu kabisa? Hizo n dalili za gari kuibiwa masega.bas karibu tukuuzie vibuyu vya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello Team, kiwanja kinauzwa Kiko njia ya kwenda Namanga, kwa wale wanaojua By pass ya Ngaramtoni Kiko karibu na hapo au CRDB ya Ngaramtoni ARUSHA. Size ni 25 kwa 25 ni meter 200 kutoka barabara...
2 Reactions
6 Replies
667 Views
TOYOTA PREMIO (CTB) 1490 cc 1nz Engine Full Ac Full Documents Gari Mpyaa 100% Bei 9 mil Kama Unauza Gari Lako Nitumie #Darcity_magari #0625004475
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Fundi umeme wa majumbani kama kusuka, vifaa vya umeme kama pasi, heater, oven, microwave, fridge, n.k Ukifanikiwa kupata kazi au kuniletea mteja utapa 30% ya malipo ya mteja atakayotoa Tuma...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Ninanunua Magari Aina zote Used, Kama Unauza Gari Lako Unahitaji Hela Ya Haraka Nipigie Simu au nitumie picha WhatsApp nikufate Popote. 0625004475
1 Reactions
11 Replies
800 Views
Mawasiliano 0628139218 SAMSUNG USED S6 edge 190000 S6 edge+ 230000 S7 edge 240000 S8 1 sim 290000 S8 2sim 330000 S9 1sim 320000 S9 2sim 340000 S8+1sim 350000 S8+2sim 375000 S9+1sim 365000...
3 Reactions
157 Replies
16K Views
Kuibiwa masega, catalytic, exhaust au converter kwa lugha nyingine katika gari yako hupelekea changamoto mbalimbali ikiwemo gari yako kula mafuta mengi, kutoa mlio unao kera, hata taa za engine...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Wakuu hii ni maalum kwa mtu ambaye atakuwa anahitaji kutuma mzigo kutoka China kuja Tanzani, nipo hapa kwaajili ya kutoa huduma hiyo.
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Tunafunga CCTV camera majumbani na sehemu za biashara kwa ajili ya usalama na kufuatilia matukio. Pia tunakuunganishia uweze kufuatilia matukio hayo kupitia kwenye simu yako ya mkononi popote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom