Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo. Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba. Nawasilisha
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Iphone x GB... 256 Full box Bei ni 574,000/= Zingatia•• biashara ni dukani kariakoo ukitaka kutumiwa mkoani au ulipo sawa Ukiwa Dar unakuja dukani au unatumiwa.
0 Reactions
2 Replies
673 Views
Jamani habari za asubuhi, Nauza keki za happybirthday na matukio mengine, usimuache mtoto wako aone wivu kwa jirani , niko Tandika keki ni elf 15 mpaka 20. Mawasiliano 0624808386
1 Reactions
0 Replies
724 Views
Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mashine zote ni mpya: Warrior Machine 400,000Tsh Fogging Machine 1.3m Tsh Mazungumzo yapo. Mashine zote zipo Ubungo Riverside, Dsm. Mawasiliano: 0766-280-952 0712-787-939
0 Reactions
3 Replies
641 Views
Hello Dears, ▫️New Stock ya Saa za Mike ▫️Hizi za mikanda ya ngozi ni Unisex mwanaume au mwanamke anaweza vaaa, hizi za chuma ziko in couple kubwa ya kiume ndogo ya kike, tho its Oky Mwanamke...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Habari Ndugu! Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa. Leo tujadiliane kitu kimoja...
1 Reactions
9 Replies
979 Views
Habari za muda huu wanajamvi! Ningependa niende moja kwa moja kwa mada husika pasi na kuwapotezea muda wa kusoma makala ndefu wakuu najua mmechoka na usiku huu Nahitaji sticker za kubandika...
0 Reactions
2 Replies
540 Views
Habari za muda huu wanajamvi. Ningependa niende moja kwa moja kwa mada husika pasi na kuwapotezea muda wa kusoma makala ndefu wakuu najua mmechoka na usiku huu. Nahitaji sticker za kubandika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tangazo hili limekaa Kwa option zote mnunuzi au muendeshaji Guest house ipo Kata ya Minazi mirefu Kiwalani, wilaya ya Ilala Jiji ipo katika hali nzuri kabisa ina vyumba 10 self, maji ya Dawasa na...
3 Reactions
9 Replies
831 Views
Ram 5 Rom 250 Portable and slim 11.5 Chaji saa 1:30 Kwa 225k Inapungua kidogo 0715 193 810
1 Reactions
5 Replies
606 Views
Ina mistari ila inapiga kazi Ya kubadilisha kioo baadae 150k Inapungua kidogo 0715 193 810
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Habari wana jamvi, me ni mmoja ya watu ambao nimekutana na simu nyingi zenye matatizo hayo, niseme tu sasa yamekwisha. Haya matatizo ya emergency call hasa hasa yapo kwenye samsung nayo nafikix...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mimi ni mwalimu pia afisa utumishi wa uma,ninayo habari njema kwenu, na watoto wenu, kuwa ninafundisha somo la kiingereza kwa weledi mkubwa na kwa gharama...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ninahitaji gari la kupigia misele ya town kwenda kazini nk,lengo langu ni kununua kutoka kwa mmiliki wa Gari husika na sio Dalali. Brand Ikiwa Toyota Itakua Vyema Sana Budget ni 5.5 M Itakua...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
✓Shuka √Cotton duvet ✓Foronya Location Dar, Natuma Mkoani na nafnya delivery 📱0626903619 Price 50,000/=
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Vitabu zifuatavyo vinapatikana na vitaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupata elimu ya fedha na uwekezaji. 1. Increase your Finanncial IQ by Robert Kiyosaki 2. School of money by Olumide O...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Asalamu alykum ndugu zangu. Nyumba inauzwa, Ina vyumba Saba(7) vya kulala na vyoo sita, Ina uwanja mkubwa na mabanda kwa ajili ya kufugia kuku yapo. Bei ni milioni mia na hamsini,(150000000) ila...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Vyumba vitatu, kimoja masta Limezungushiwa uzio wa matofali Eneo ni kubwa Umeme mlangoni Liko kwenye barabara ya mtaa Mita 500 kutoka barabara kuu inayoelekea Mtwara Lipo Mkuranga Kwa maelezo...
1 Reactions
13 Replies
909 Views
Back
Top Bottom