Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Inaweza kukomboa mtama, mpunga, mahindi n.k (kwa saa 200kg) Inaweza kusaga mahindi, mchele, manjano, mtama , kahawa n.k( kwa saa kg 300) Inatumia motor ya 3000 watts Mashine ni mpya Unatumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ps2 slim ikiwa na vifaa vifuatavyo ✓Waya wa moto mpya ✓Waya wa AV mpya ✓Memorycard mpya ✓Flash yenye game 10 Dar es salaam Tsh 110k bei fixed 0692402211
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Kwa yeyote anayehitaji mkaa kwa siku naweza kumuuzia gunia mbili ila awepo dar, bei 60,000 tu Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
444 Views
Nataka kuanza kupeleka dagaa dar Naomba kwamwenye huerewa wa soko la dagaa wa Mwanza wana beigani?
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga Zanzibar maeneo ya Fuoni, Kwerekwere, Kisauni mbweni
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari Wanajamii, Natumaini mnaendelea vizuri na mihangaiko ya kutafuta ridhiki, Nakuja mbele yenu kama Freelancer ninayotoa huduma zifuatazo: 1. Preparation of financial reports 2. Preparation of...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
USED FROM UK VERSION DELL LATITUDE 7420 "14 (2021) 3GHz Intel Core i7 4-Core (11th Gen) 16GB Of LPDDR4xRAM |256GB M.2 SSD "14 1920×1080 IPS - Type WVA Display Intergrated Intel Iris Xe...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
bei ni million 17 ni pm kama upo interested lipo katika hali nzuri sana
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Watengenezaji wa Mabango Tanzania kwa gharama nafuu zaidi. karibu tukuhudumie, wasiliana nasi kwa namba 0762399650 kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jipatie mapazia mazuri mno Price: 33,000 (piece mbili). Size: upana 1.5m kwa kila piece. Deliveries: Zipo kwa Dar na mikoani natuma pia. [emoji338]Ukihitaji nicheki whatsapp +255685269533...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Wataalam na mabingwa wa kutungeneza Mabango Tanzania, Logo, Posters, Flyers na uchapishaji (Printing). Wasiliana nasi kwa 0762 399 650 kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu. Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika. Piga 0713 039 875 (Awe Dar...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu, salam kama heading inavyojieleza wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya kiroba naziitaji na pia na gharama zake?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naihitaji iyo mbegu ya kiroba kwa yeyote alionayo itakayotosha heka 3 tafadhali tuwasiliane Contacts:0710299840
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Nauza mayai ya kienyeji tray @14,500. Niko Mwenge maeneo ya TRA. Ukihitaji kufanyiwa delivery, inawezekana na gharama zote ni juu yangu. Deliveryni kwa maeneo ya Dar. Namba yangu 0621047282
1 Reactions
5 Replies
905 Views
Habari, Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo Chumba self cha nje napendelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inabeba Lita 4,500 na bado ipo kwenye hali nzuri. Bei 25 Milioni (Maongezi yapo). Leo Juma Nne ukingoja January unaikosa hii. Boss wa moto! Tufanye biashara.... Tucheki 0678275619. #magariused...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Galaxy A12 4gb ram 64gb storage Quad cameras Fast charging Battery 5000mah Sided fingerprint Simu bado mpya kabisa ina miezi miwili na nusu tangu niinunue dukani. Bei ya ofa 290k kwakuwa...
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Sitak fake
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau, Naitaji gari ya kununua kwa mtu. Iwe Toyota IST. Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo) Isiwe imeguswa injini Namba D ndio itapewa kipaumbele. Siitaji dalali, sababu sina pesa ya...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom