BMW x5 fully loaded expat leaving
Description:
2014 model BMW X5 auto
Mileage: 26k
Engine: 2.0 diesel
Unregistered
Location: Masaki
Fully loaded with keyless entry and start
Electric tow bar...
Habarini wanajamvi
Nina shida na eneo la kufugia kuku, nahitaji mahala nitakapoweka banda la kuku na kuanza mradi wa ufugaji wa kuku.
Eneo hilo si kwa nia ya kulinunua kwani sina pesa hiyo kwa...
Mifuko yetu ni imara haina shida aina yeyote, haitoki rangi zake na inadumu muda mrefu.
Kama huna nembo tunakudesignia.
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
Tunapatikana Dar Es Salaam.
call&...
Nimeona fursa katika hili.
Natafsiri movie kwa mtindo wa tofauti na uliozeoeleka mtaani. Tafadhali wasiliana nami ujipatie movie kali zenye mazungumzo ya kiswahili.
Karibuni vunja Bei kariakoo online wauzaji wa nguo za kiume pamoja na viatu
Utapata jeans kardet vest T-shirt shirt kwa Bei pouwa
Njoo WhatsApp 0657710078
karibuni sana, gari haina changamoto yoyote.
Some Details
Engine Volume: Cc 660
Automatic...
Piston 4..
tairi kama mpya
Location: Mbezi misugusugu, Dsm
Availability: all time
call: 0625750755
Nyumba ina vyumba vitatu(kimoja master), Sebule, Jiko, na choo cha umma. Eneo la kiwanja ni Futi 50 urefu na futi 40 upana. Inapatikana Vikindu, kijiji cha picha ya Ndege, kitongoji cha Kamegele...
Nawasalimu,kampuni yetu inatoa huduma za uwekaji wa umeme majumbani na viwandani kwa ubora wa hali ya juu,tunafanya kazi za sizi zote,tunauza vifaa vya umeme original,pia tunachora michoro ya...
Kuna Itel tatu, moja ni smartphone ya laini mbili na mbili ni simu ndongo za laini tatu kila moja, pia kuna Tecno ina laini tatu.
Simu ndogo bei ni Tsh15,000/= kila moja na Smartphone bei ni...
Habari Wazee,
Mimi ni mmiliki halali wa kiwanja chenye boma ambalo halijaisha bado. Nimeamua kukiuza kutokana na changamoto mbili tatu ninazopitia.
Kiwanja kipo Mkoani Mwanza( Buhongwa) na...
Wasalaam wandugu, toka nimalize chuo mwaka jana , niko tu natanga tanga, na kibachela changu cha education history and geography, tafuta mishe wapi, kwakuwa hii ni jamii forum naamini, wana DODOMA...
Kuna mtu anahama yupo Kahama, maeneo ya Nyahanga anauza friji,
Godoro,
Jiko la gesi,
Viti plastiki,
Viti vya kiofisi,
Meza za kiofisi,
Meza za mbao,
Vyombo pamoja na mapazia.
Maongezi kwa mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.