Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tuna design business cards za kisasa kwa gharama nafuu. Utatumiwa business card yako kwa mfumo wa image, then utaweza kuprint mwenyewe kwenye stationery yoyote ile iliyo karibu nawe. Gharama ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Suti mseleleko ni wauzaji wa suti za kike, kiume na suti za watoto kwa wateja wa Dar-es - salaam na mikoani. Bei zetu ziko poa kabisa zinaendana na gharama ya fedha yako. Kwa mawasiliano zaidi...
9 Reactions
24 Replies
14K Views
Wakuu habari. Natafuta PS 2 used kwa walioko Dodoma. Tuwasiliane....
1 Reactions
5 Replies
782 Views
Viwanja viko vitatu. vyote vina hati za serikali umbali ni km 1 kutoka lami. size ni sqr m 600 kila kimoja (30m*20m) Eneo lina umeme Bei ni 25mil 0713096076
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari. Natoa huduma ya kutafsiri kutoka Kiingereza au Kiswahili kwenda Kijerumani.
1 Reactions
4 Replies
783 Views
PC IMESHAUZWAA WADAU asanteni kwa Ushirikiano.
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndg ikiwa wewe ni mdau na una magari ya kusafirisha mizigo tafadhali tuwasiliane baada ya kukubaliana na bei elekezi. Tunalipa $7,700 lakini pia kuna hakika ya mzigo wa kurudi. Wasiliana nami...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
True_garden_designers tunatengeneza garden/bustani nzuri za nyumbani,hotelini, shuleni,kanisani,na maofisini,zenye muonekano wa aina mbali mbali. Popote tunakufikia ndani ya Tanzania. Tutafute...
20 Reactions
163 Replies
50K Views
BILL COUNTER MACHINE-0686 316 748 [emoji832]Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services [emoji832]Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji wachimbaji wa visima virefu. Site: Mwavi Bagamoyo...kijiji kimoja kabla hujafika kiwangwa ukitokea Dar Urefu: 140m-150m Ofa: Milioni 5 Cash Note...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
DISPLAY Type TFT capacitive touchscreen, 16M colors Size 4.0 inches (~r53.1% screen-to-body ratio) Resolution 480 x 800 pixels (~245 ppi pixel density) Multitouch Yes - - Emotion...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello members, kampuni ya muye group ya Tanzania kwa kushirikiana na CHINA -AFRICA TRADE RESEACH CENTER NA kudhaminiwa na manisipaa ya mji wa hengshui hebei china wataendesha maonyesho ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Camera holder: Condition: ni used kwa mwezi mmoja, sawa na mpya.!! Carrying capacity:Dslr cameras,mirrorless cameras croped and full sensor cameras. Location: tabata kinyerezi Price: 55000tsh...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
windows za aina zote zinapatikana kwangu popote pale ulipo duniani niweza ipata windows yako kwa mfumo wa kisasa pia utaelekezwa jinsi yaku install windows yako kwenye computer yako kwa kutumia...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari Wakuu Nina rafiki nje ya nchi anatafuta kuwa mbia kwenye biashara ya uwindaji wa kitalii. Kama Kuna mmiliki wa hunting block tafadhali tuwasiliane Whatsapp 0676434611. Shukrani
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anakodisha majoho please anicheck 0625547961
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza nahitaji feni aina ya Evernal, je nitapata wapi na napenda kujua bei yake je ni kiasi gani!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa mkulima yoyote anayeitaji kupimiwa udongo tunapima. Unaweza kuleta sample ya udongo tukakupimia ili kutambua soil pH ya udongo wako. Gharama ni Tshs 20,000/= Cash kwa kila kipimo. Majibu baada...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar. Hivyo basi nachukua fursa hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…