Tunapokea oda za kuprint t-shirt za aina zote kwa bei nafuu..t-shirt high Quality.
tunapokea oda kwa t-shirt za
1. Familia
2. Shule (wanafunzi na staff)
3. Birthday
4. Msiba
5. Kwaya
6. Vikundi...
Bila shaka mko vizuri.
Mwenye accounting software kwa ajili ya kuratibu collections na expenditure kwenye shule, tafadhali tuwasiliane.
Note: Isiwe na Mambo mengine Kama vile academics, sijui...
Jipatie email kwa ajili ya biashara yako kwa bei ya Tsh 35,000/= kwa mwaka.
[email protected][email protected]
Tuwasiliane kwa Maelezo zaidi 0764178822
Nikikombe kinachoweza kuchemsha ama
Kupasha maji ya chai
Kwa Bei simple tu ya 30,000
Kipo dar
Natuma mikoa yote
Mawasiliano
Whatsaap.. 0719257400
Normal calls and text ...0767902788
Hello dears,
Natafuta kampuni ambayo inaweza kufanya soundproofing kwenye boardroom 2 na executive offices mbili pia. Kama mpo naomba mnicheck PM ukisema jina la kampuni, if registered, location...
Inasaga karanga kuwa rojo (Peanutbutter) pia inasaga Almond kupata almondbutter nk.Bei tsh 999,000. Uwezo kg15 kwa saa. Umeme wa majumbani. Duka lipo Kinondoni mkwajuni nyuma ya ccm. simu...
Hello JF,
Poleni sana na majukumu yenu ya kujenga Taifa, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina tafuta electronic weighing scale tatu, zenye uwezo wa mpaka 150kgs, kwa yeyote au mwenye...
Wana JF habari ya wakati huu.
Nahitaji kununua bitumen carpet zile ambazo huchomelewa sehemu ambazo zinaweza vujisha maji hasa zege la floor slab. Naweza kupata wapi hiyo bidhaa kwa anayeuza kwa...
Full paid documents, Well maintained
Engine Type 2nz, Engine capacity 1290
Haina tatizo lolote, Full aircondition
Imerudiwa rangi smart, Haijafunguliwa engine,
Bei Tsh. milioni 9.5
Maongezi yapo...
Kama picha zinavyoonekana wadau,hii TV inauzwa, ina ubovu.
Tatizo: Mtoto aliiangusha ikapiga 'kleksi'. Inawaka vizuri na kuonesha ila picha sio nzuri tena. Kwa mujibu wa mafundi inatengenezeka...
Wale wakali wa decoration,
Wapaka Rangi za aina mbalimbali, karibu ununue rangi kwetu na utapata maji ya kunywa buree
Rangi tulizo nazo ni
1.Drewa (mineral stone) kg 25
2.Cone mix (Terrasit) kg25...
Wanajamvi habari kuna vitabu hapa vya wanafunzi wa masomo ya science naviuza kama ifuatavyo
1. Understanding biology for Advanced level 20000 Tsh
2. Pure mathematics 1st edition@ 10000 Tsh
3...
Nyumba inauzwa bunju A
Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet
Uwanja ni sqm700
Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani.
Bei 150m
0762815104
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.