Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila...
8 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarii za usiku wana Jf polen na majukumu. Kijana nimejichanga sasa naitaji kiwanja cha million 1.5 na mm nianze mchakato wa kutoka ktk nyumba za kupanga asanten sana, kiwanja kiwe DSM. Nawasilisha
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam Naomba msaada wa kujua duka linauza spare parts za Nissan Xtrail. Nahitaji clutch na pressing yake. Gari ni manual Natanguliza shukran
0 Reactions
7 Replies
2K Views
4TB Transcend External HDD used but in mint condition. Ipo Dar Es Salaam. Call: 0712198128 Price: 250,000
0 Reactions
1 Replies
878 Views
Habari wana JF, Natafuta siagi za karanga, parachichi, kahawa, embe, shea butter, Sea moss, Bentonite Clay. Brown sugar, wheat etc Pia natafuta (Not oils) Rose water, Aloe Vera(organic)...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Dell Latitude E6330 RAM: 8GB HDD: 500GB Operating System: Windows 10 | 64-bits CPU: Core i7 | Speed: 3.0GHz Battery Autonomy: 3hrs Status: Good condition Location: Ubungo, Dar es salaam Price...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
FURSA! FURSA!FURSA [emoji389][emoji389]VITENGE TOKA CONGO NA VIJOLA KWA BEI NAFUU.[emoji56][emoji294][emoji91] 1:[emoji389][emoji3060]VITENGE ORIGINAL VIZITO TOKA CONGO pis 3.....jumla 23,000/=...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta dawa za kutibu maji zile zinazotumiwa na idara ya maji kwenye matank ya maji wanakouza jumla
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naombeni kujua jinsi gani naweza pata makala za kitambo nimejikuta nawamisi akina lodi lofa mapungo pimbi baba ubaya na wengine wengi nimejaribu google sipati mzigo kamili
9 Reactions
23 Replies
5K Views
Bei ni 75000 Contacts :call au whtsaap 0767626990
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Natamani kujua gharama za mashine ya kukamulia alizeti na kuchuja. Pia uwezo wake ni mhimu sana nikafahamu. Nina ndoto za kuingia kwenye tasnia ya usindikaji Nitashukuru nikipata msaada wenu
2 Reactions
15 Replies
36K Views
Habari wanajamii [emoji213]Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami [emoji213]Nyumba ina vyumba vitatu, viwili masters [emoji213]Public Toilet moja [emoji213]Ukumbi, Dinning, Jiko...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Karibu Inakupa matokeo mazuri Inakupa muonekano mzuri Bei 45000/= DM kwa more information
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Nyumba ya kuishi inauzwa, ipo Chanika Zingiziwa, Mtaa wa Ngobedi. Ina vyumba vutatu kimoja ni master. Pia ina choo cha nje na eneo ambalo unaweza kujenga kitu kingine. Ipo kwenye eneo tulivu sana...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Nauza vichwa vya cherehani aina ya JONES 1681 na aina ya CRESTA Vichwa vyote viwili shilingi 400,000/- Vinapatikan Singida Mjini. Mawasiliano 0674212048.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Lenovo Thinkpad T450 8GB RAM 240GB SSD 1920x1080 Full HD Display Intel 5th Gen i5-5300u 2.30ghz to 2.90ghz boost. [emoji367] 3hrs Battery Price: 390,000/= Contact: 0738463902 / 0743527350
0 Reactions
9 Replies
2K Views
FURSA! FURSA!FURSA [emoji389][emoji389]VITENGE TOKA CONGO NA VIJOLA KWA BEI NAFUU.[emoji56][emoji294][emoji91] 1:[emoji389][emoji3060]VITENGE ORIGINAL VIZITO TOKA CONGO pis 3.....jumla 23,000/=...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam.!! Wakuu ninauhitaji wa king'amuzi cha startimes cha antenna kama kuna mtu atakuwa nacho tuongee biashara wakuu location nipo Arusha. Asanteni!
1 Reactions
0 Replies
747 Views
Naomba kujuzwa, ipi ni betri mzuri kwa matumizi ya umeme jua kati ya zile kavu na za maji?? Napata mkanganyiko kwa sababu kuna mtu ameniambia betri kavu si mzuri kwa vile hazina mbadala na zile za...
0 Reactions
31 Replies
32K Views
Back
Top Bottom