Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, kwa sasa nina soko kubwa sana la mayai ya kienyeji. changamoto ninayoface ni supply na bei ya kununulia. Nahitaji mtu wa kunisupply Kuanzia tray 20-40 kwa week kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa chuo kilichoo maeneo ya Science anatafuta chumba cha kupanga ambapo anaweza kufika chuo kwa kupanda basi moja. Maeneo ya Riverside Kijitonyama yatapewa kipaumbele.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hiki nikifaa chakutengenezea chapati Inatumia mkono Haitumii umeme Bei ni. 40,000 tu Dar Es salaam unaletewa Mkoani tunatuma ULIPO TUPO NA CHAPATI TAMU 0719257400 Karibu WhatsApp ree-classic-store
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Nyumba ya vyumba 3 self contained inapangishwa Kisota-Kigamboni barabaraya Damian do Amsi. Nyumba imeungana na nyingine 3 ambazo zinatumia geti moja, kila moja ina mita yake ya luku ila maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natafuta chumba Moshi maeneo ya karibu na KCMC..Chumba chenye choo ndani. Bajeti yangu ni 70k-90k kwa mwezi. Mwenye connection tafadhali naomba msaada
1 Reactions
7 Replies
1K Views
An example of a composting plant to be built in Dar es Salaam and neighboring townships 1. Introduction Kibanga Vision Health Services Limited (KVHSL) is a private company registered in Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
OFFER. OFFER. OFFER Fursa kwa wafanya biashara na watu wote. Jipatie raba kali za kike kwa shilingi elfu kumi na tano. Napatikana Karia koo Dar es salaam 0620239355
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sh.300,000tu topup., Haipungui hata mia Clean as new [emoji3063] WhatsApp 0686289389.
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Wanajamii, Naombeni ushauri nataka kumpeleka mwanangu kati ya shule hizi kuanza darasa la kwanza (grade 1) - Al Muntazir Boys Primary au St. Laurent Primary. Ipi shule nzuri kati ya hizi mbili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Subaru forester Cross Sport Year 2004 Cc1980 Ej20 Turbo Price: 10m Loc; Airport DSM 0626409908
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine (strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Brothers & Sisters, ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la jamuhuri! Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku...
7 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibuni mpache handbags nzuri mama zangu Bei 48000 Napatikana dar as salaam WhatsApp 0657710078 Delivery popote unapata
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Nauza nguruwe wadogo wa umri wa miezi mitano Majike mawili na madume matatu Wapo Dar mahali Goba-kinzudi Kwa mawasiliano piga 0762 711636
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wonderful group limited Kwa mahitaji ya mashine za kusafisha maji kama kuondoa chumvi, magadi, iron harufu mbaya , kubalance PH ya maji , kuboost calcium na kuondoa chemical hatarishi kama...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu kwemai Hope mko poa naombeni msaada wenu mimi ni mgeni hapa mwanza kuna insu imenileta huku sina uenyeji na mitaa ya huku naombeni kwa anaefahamu anijuze naweza kupata wapi jezi OG ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…