Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu, nina shida na lines za chuo kwa upande wa Halotel na Airtel, mwenye kujua namna ya kuzipata anisaidie. Lengo langu ni lines hasa kwa ajili ya internet tu, sitaki madakika mm. Maisha...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Wakuu, Nahitaji kununua pull table used iliyo katika hali nzuri Nicheki pm kama unalo au unajua anaeuza [emoji120]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eneo hilo kwaajili ya kujenga hotel au camp site, lipo pembezoni mwa hifadhi ya ruaha national park, barabara imechongwa mpaka hapo kwenye eneo. Eneo limepimwa na hati ipo, ukubwa ni ekari 50, na...
2 Reactions
11 Replies
859 Views
Jipatie car washing Mashines kwa Tzs 300,000/= na Tzs 400,000/= mpya na zenye warranty ya mwaka mmoja. From RONIX A Premium Quality Products. Sifa Zake: 1. 110/160Bar Sawa na 1600Psi/2300Psi...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Nahitaji TV inch 50 iwe hisense, lg, Samsung au brand inayofahamika ofa laki nane kamili, nipo Dar es salaam iwe haina kipengele chochote call/whatsapp 0753285898
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kimsalaba cha chuma kama hiko katikati hapo kwenye picha. Kwa hapa Dar, duka linalouza vifaa vya aina hii linapatikana wapi? Msaada please
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii mifuko ninayo ya kutosha hata ukitaka 100, nitafute kwa hizi no 0654757823 tufanye biashara Mahali Dar es salaam mikoani nakutumia
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Mobile phone lens. Unahitaji kupiga picha za mbali za siri au zakawaida. Au wewe ni camera man Ila umekosa camera na unataka kutumia simu? Tumia lenses hii ndogo inayopachikwa kwenye camera ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau mwenye Acer Tablet mpya au used nanunua na laki 8 cash au anayeuza samsung tablet nanunua pia iwe 16 GB kwenda mbele pm me
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahani wadau aina gani ya laptop itanifaa? Nina 750000/= na ninahitaji laptop mpya.
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Viwanja vipo Dar es Salaam Kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha Kigamboni College of Health and Allied Science,kwa bei nzur na viwanja vimeshapimwa vipo katika michakato ya hati mita 35*35...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
HP PRO BOOK 6470B Inauzwa Ram 4GB Hard Disk 500GB Windows 10 Webcam Finger Print Battery 4 Hours Bei 350,000 Mawasiliano: 0768776716
0 Reactions
7 Replies
912 Views
HP PRO BOOK 6470B Inauzwa Ram 4GB Hard Disk 500GB Windows 10 Webcam Finger Print Battery 4 Hours Bei 250,000 Mawasiliano: 0768776716
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Salaam ndugu zangu -Je unahitaji mtaalamu mshauri wa kukuongoza namna bora ya kulima mazao mbali mbali (Mazao ya Horticulture (Parachichi, Nyanya, Hoho, Tikiti Maji, Kabichi, Karoti, Pilipili...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Godoro ni kama jipya kabisa lina inchi 10 kwa kitanda cha 5x6 liko maeneo ya Kkoo. Bei 110,000 ila mazungumzo yapo.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu, mimi ni kijana wa kitanzania niliyeamua kujiongeza kwa kufanya kazi za kufunga CCTV cameras, electric fence, bimetric doors n.k. Tushafanya kazi nyingi karibu tukuhudumie tuko wawili...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Habari wanajamvi, moja kwa moja niende kwenye mada ya msingi. Nahitaji sehemu tulivu nipate kuishi na familia yangu yenye mama, baba na mtoto mdogo. Vigezo; 1. Pafikike kirahisi 2. Easy...
1 Reactions
3 Replies
656 Views
Back
Top Bottom