Bench kwa ajili ya mazoezi ya kupunguza/kukata tumbo na mazoezi mengine nauza kwa TZS 275,000/= bench ni mpya na ni original.
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na gym. Piga 0789444498
GIMASE CHICKENS
Leo mzigo upo
Jipatie mbegu bora ya kuku wa Kuroiler wenye asili ya India.
Sifa zake:
1. Nirahisi kufugwa
2. Hawapatwi na magonjwa kirahisi
3. Wanaanza kutaga baada ya miezi 5 na...
Kuna nyumba 3 znapangishwa karibu na mliman city.
1. Nyumba kubwa yenye room3 jiko na public toilet na sebule kubwa hii ni tsh 300,000/= kwa mwezi nahitaji kodi ya miez 6.
2. Nyumba yenye vyumba...
Gari iko njema tu, changamoto ni AC na ringi za kubadilisha.
Njoo na hela ya boss, milioni tatu,
Dalali nipe laki 1 inatosha. Nipo hapa Simiyu, Bariadi nipigie 0713096076 nikuunganishe na mwenye...
TAARIFA MPYA
DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.
JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.
HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.
UKIPENDA KUJUA...
Habarini wanajamii forum,
Nakuja mbele zenu kijana wenu mdogo kuomba msaada.
Natafuta chumba cha kupanga chenye sebule na chumba kimoja tu maeneo ya mawasiliano, survey, sinza au makumbusho...
Wana JF habari.Ninaomba msaada wa kujulishwa panapouzwa korosho zilizobanguliwa.
Mara nyingi nikipita Chalinze, Pwani, ninaona kina mama wana nyungo na makapu yamesheheni korosho, wao huwauzia...
Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi.
🐒Iwe Dar au jirani na Dar
🐒Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine
🐒BEI ISIZIDI 7M
🐒Nitapenda...
Pata simu ya huawei ya mezan
Inasapoti lain zote
Inauwezo wa kutuma na kupokea sms
Betri inakaa na chaji siku 7
Simu n mpya Full box
Price 70000
Location Mtaa agrey na likoma kariakoo...
Hp Scanjet Pro 2500 f1 inauzwa.
Specifications.
Scanner type - Flatbed, ADF.
Scan resolution - optical
Up to 600 dpi (color and mono, ADF); Up to 1200 dpi (color and mono, flatbed)
Duty...
Pata printa mpya Full box ya L3150
Ina print,scan na kutoa Copy
Ina print black pages 8100
Ina print color pages 6500
Inasapoti Wireless
Price 550000
Loation kariakoo agrey na likoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.