Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bench kwa ajili ya mazoezi ya kupunguza/kukata tumbo na mazoezi mengine nauza kwa TZS 275,000/= bench ni mpya na ni original. Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na gym. Piga 0789444498
2 Reactions
8 Replies
847 Views
Jengo linauzwa lipo Mlamleni pwan lilianza kujengwa kwa ajili ya frem jengo lipo karibu na shule na hospital ni barabaran na ni eneo lenye watu wengi.
0 Reactions
3 Replies
811 Views
GIMASE CHICKENS Leo mzigo upo Jipatie mbegu bora ya kuku wa Kuroiler wenye asili ya India. Sifa zake: 1. Nirahisi kufugwa 2. Hawapatwi na magonjwa kirahisi 3. Wanaanza kutaga baada ya miezi 5 na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna nyumba 3 znapangishwa karibu na mliman city. 1. Nyumba kubwa yenye room3 jiko na public toilet na sebule kubwa hii ni tsh 300,000/= kwa mwezi nahitaji kodi ya miez 6. 2. Nyumba yenye vyumba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Gari iko njema tu, changamoto ni AC na ringi za kubadilisha. Njoo na hela ya boss, milioni tatu, Dalali nipe laki 1 inatosha. Nipo hapa Simiyu, Bariadi nipigie 0713096076 nikuunganishe na mwenye...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
TAARIFA MPYA DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021, MWISHO NI TAREHE 9/11/2021. JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA. HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI. UKIPENDA KUJUA...
8 Reactions
96 Replies
14K Views
Habarini wanajamii forum, Nakuja mbele zenu kijana wenu mdogo kuomba msaada. Natafuta chumba cha kupanga chenye sebule na chumba kimoja tu maeneo ya mawasiliano, survey, sinza au makumbusho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mtu anaweza nisaidia wapi naweza pata zao la shairi kwa hapa Dar
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipigie 0713096076 bei 250,000
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Socks pea tano 20000 tuu Free size Qulity[emoji108] Free delivary ndani ya Dar [emoji338]whatsupp 0653959285
3 Reactions
7 Replies
683 Views
Wana JF habari.Ninaomba msaada wa kujulishwa panapouzwa korosho zilizobanguliwa. Mara nyingi nikipita Chalinze, Pwani, ninaona kina mama wana nyungo na makapu yamesheheni korosho, wao huwauzia...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi. 🐒Iwe Dar au jirani na Dar 🐒Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine 🐒BEI ISIZIDI 7M 🐒Nitapenda...
3 Reactions
4 Replies
43K Views
Pata simu ya huawei ya mezan Inasapoti lain zote Inauwezo wa kutuma na kupokea sms Betri inakaa na chaji siku 7 Simu n mpya Full box Price 70000 Location Mtaa agrey na likoma kariakoo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Storage 64gb Ram 4gb Kwa 220 tu karibu Nichek kama unahitaj 0678646721
1 Reactions
5 Replies
852 Views
Habari wapendwa, Nina shida na mashine used ya kufulia nguo kg 7-10 Nipo Mbeya mjini.
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Hp Scanjet Pro 2500 f1 inauzwa. Specifications. Scanner type - Flatbed, ADF. Scan resolution - optical Up to 600 dpi (color and mono, ADF); Up to 1200 dpi (color and mono, flatbed) Duty...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello habarini za muda huu, poleni na covid-19 popote mlipo, natafuta fundi bora, atakayenipa makadilia mazuri ya kusimamisha (namaanisha boma tupu) kwanza, nyumba mahitaji yafuatayo vyumba...
7 Reactions
72 Replies
13K Views
Pata printa mpya Full box ya L3150 Ina print,scan na kutoa Copy Ina print black pages 8100 Ina print color pages 6500 Inasapoti Wireless Price 550000 Loation kariakoo agrey na likoma...
1 Reactions
0 Replies
451 Views
RAV4 L Engine 1zz Cc 1794 Low mileage Tzs 8,000,000/= tu Call/WhatsApp 0753285898 Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…