Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hp laptop available Specifications Ram 8GB Harddisk 500GB Core i3 6th generation Processor 2.3Ghz Support HDMI Battery Life 3Hours Minimum Refubrished Laptop from USA Location kariakoo agrey na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Vitambulisho pis100 kwa Elfu70. Tunakutengenezea ndani ya saa 3 (masaa3) Kazi Yako inakuwa tayari. gharama za usafiri juu Yako.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Viwanja vipo viwili kila kimoja ukubwa wake ni mita 20 kwa 54. Viwanja vyote vipo kibamba Luguruni ambapo ni kilomita 2.5 kutoka barabara ya lami na ofisi za wilaya ya ubungo. Viwanja vyote kuna...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibu! Jokofu -150,000tsh Water dispenser 100,000tsh [emoji1485]Vyote vipo mbagala chamazi dsm. [emoji1485]Free delivery [emoji1485]piga 0626 876 896 [emoji1485]Vyote vimetumika, pia mlango wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi... Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Helo Wale wazee wa masafaa ya usikua ua jion!! Napata wap privat au IT zinazotoka dar kwenda mbeya,songea au njombe Lengo langu nikapumzikie makambako Nipeni connection au maelekezo tafadhar
0 Reactions
19 Replies
44K Views
TOYOTA RUMION FOR SALE YEAR-2007 Cc 1490 MILEAGE-91,000KM LOCATION-DODOMA PRICE-11.5M INA COMPREHENSIVE INSURANCE CONTACT-0767833496/ 062211118
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Umeshawahi kutafuta kwa mda mrefu kwa mfano mashine ya kuosha magari au mashine za kukausha dagaa. Na mashine zingine zinazohitajika sana kwa mfano mashine ya kukamua alizeti na ile ya kukamua...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau mimi ni mjasiriamali na mkulima nina tani kama 50 za zao la muhogo kama kuna anayehitaji au anayejua soko anijuze.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Karbu crown hii apa used as new,, no repairments have been made,, bei m12 Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Wakuu hope nyote mmeamka salama Naomba YOYOTE anaefaham wapi nawezapata tent nzuri kwa ajili ya mgahawa na Bei yake Aniunganishe au Anipe contact za muuzaji mkoa wowote. Nitashukur kwa...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Bei ninazo tja hapo chini zinatoka kwa wamiliki wenyewe me sijaongeza chochote kama mtu utahtaji Gari na unaona bei kubwa basi nitakukutanisha na mwenye gari ili muweze kuzungumza wawili na...
12 Reactions
645 Replies
142K Views
Karibu kwenye duka letu tunauza nguo za kike Product. Woman clothes whatsapp no. +255620882741
0 Reactions
7 Replies
1K Views
gari inapiga kazi vizuri haina shida yoyote Iko Dar 0625750755
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Salam wakuu....natafuta kiwanja maeneo ya Kigamboni kuanzia Kibugumo, Gezaulole na Mwongozo ila kiwe njiani na isiwe ndani ndani. I mean isizidi 2 km kutoka barabara kuu. Sio ndani. Ukubwa SQM...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu natafuta shamba mkoa wa pwani ambalo litakidhi vigezo vifuatavyo: 1. Kuanzia heka 1 mpaka 5 2. Liwe wilaya ya kibaha, chalinze au bagamoyo 3. Karibu na barabara ya lami ya morogoro, au...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Jiko la deki 3 ,trey 9 linauzwa, kwa wenye nia ya kufungua bakery ama baking zozote ni jiko zuri sana ni jipya halijawahi kutumiwa, bei mil 5 ,tuwasiliane no.0777482509.karibuni ulimwengu wa...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Kama heading inavyojieleza, nakuja Ikwilili kuyasaka maisha. Nimevutiwa na uchangamfu wa hiyo center. Mwenye connection anijulishe
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana... Storage...
8 Reactions
166 Replies
12K Views
Wadau changamkieni kuna jamaa angu anahitaji mitungi 10 ya kuhifadhia Wine picha ipo kwa chini Ukiipata nicheki 0718239997 Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…