ninauza kiwanja,
kipo buswelu,Mwanza
njia ya kwenda kiseke karibu na nyumba za PPF
kimeshapimwa
huduma za kijamii zimefika(umeme na maji)
ukubwa Ni 47 kwa 35
Bei Ni 5mil
call:0767905919 for more...
Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo...
Habari za maisha wanaJF?
Mimi naomba msaada ni wapi naweza kupata nguo kali za wadada za mtumba kwa bei nafuu hapa Dar haswaa zile wanazopenda kuvaa wanachuo nimeattach picha ya mfano wa nguo...
Gari imekaza.
Gari inatembea mwendo mdundo
Haina shida wala kelele
Njoo na Mil 2 nikuachie
sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo.
imebaki hii tu
INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7
Salaam wadau. Ninatafuta kiwanja lililopimwa kwenye mradi wa viwanja 20,000 eneo la Bunju au Mbweni.
Ukubwa wa kiwanja kiwe si chini ya sqm 1,500. Kama unacho tafadhali tuwasiliane hapa au PM...
Wakuu,
Nahitaji hicho King'amuzi Cha Azam, Target yangu ni Used but kikiwa Kipya Ntatabasamu na kukuongezea pesa Nipo Dar es Salaam,
Kiwe katika hali nzuri.
Offer Yangu 70 elfu, ila naweza...
Kama nilivyo anza hapo juu nahitaji mabati migongo mipana geji 30. Pia naomba ushauri nibati za kampuni gani ambazo rangi yake haipauki kwa wauzaji.
Mimi nipo manyoni hivyo kama zinakuwa manyoni...
Habari wanajamvi,nauza Nyumba ipo eneo husika hapo juu,kama unahitaji njoo inbox au hapa hapa,au kama wewe ni dalali upo maeneo ya Iringa mjini nicheki pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.