Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari . Ni sehemu gani ndani ya jiji la Mwanza wanauza kanzu kali na mavazi mengine kama hayo?
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Hello ndugu, natafuta software developer ambao wanaweza ku-develop software from the scratch. Nina mawazo ya kutengeneza software kadhaa hivyo yeyote mwenye uwezo huu, tuwasiliane. NB. Nahitaji...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Packline Company Limited,ni kiwanda kinachozalisha na kuuza mifuko ya khaki kwa gharama nafuu,baadhi ya bei zetu ni kama ifuatavyo 2kg ziko 1600pcs bei ya katoni Tsh 64,000 3kg ziko 1280pcs kwa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Leo nawaletea namna bora kwa wafanya biashara kuuza bidhaa zao kupitia mifumo ya kisasa ya teknolojia maarufu kama e-commerce e-commerce ni tovuti /website ambazo zinampa mteja nafasi ya...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Property investors company inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja kwa bei ya offa maeneo ya 1. Madale - 28,000/= kwa sqm 2. Bunju - 20,000/= kwa sqm 3. Vikawe - 8000/= kwa sqm 4. Mwasonga -...
1 Reactions
272 Replies
39K Views
Habari. Ninampango wa kuanzisha biashara inayo hitaji kuonekana kinachouzwa ndani na office kidogo iwe na muonekano mzuri kati ya milango hii upi ni mzuri na bei yake ni nafuu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dawa ya meno na kinywa kwa wale wenye matatizo ya kinywa, kunuka mdogo, fungus kinywani, wasafirio uvinza (hii itawafanya waepukane na cancer, unatumia baada ya kusafiri) Tsh 15000 tu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nyumba (apartment) nzuri sana inapangishwa. Nyumba iko maeneo ya Kimara Korogwe, umbali 2kms kutoka Morogoro road, na sifa zifuatazo: Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni masterbedroom) Sebule kubwa...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Habari Kuna mtu humu anadeal na hawa samaki, wakiwa live yaani unauza live live au unajua mtu anayefanya hii biashara.. Tafadhali nipe contacts
1 Reactions
4 Replies
658 Views
2000 Toyota Land Cruiser VX 100 series Auto diesel 24 Valve Engine 1HDT FTE Price: 35m Negotiatable Contact: 0624 139 052
1 Reactions
36 Replies
24K Views
Habar zenu Wadau Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa Mzee Kingwele anaishi mpakan na CONGO. Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu. Siku ya pili na ya tatu...
1 Reactions
91 Replies
10K Views
Hdd 500 Gb Ram 4 gb Core i3 Battery 6 hrs Ina HDMIna VGA port Bluetooth & wifi Very clean Bei 480,000 maongezi yapo Call 0755 655516 Location Dar.
1 Reactions
4 Replies
886 Views
Kiwanja kina nyumba yenye vyumba viwili na sebure kimoja ni master. - Kiwanja ni 624m2 Kuna maji hapo hapo (ya uhakika) na umeme(wa uhakika) Dk2 bara bara ya lami - frem ya biashara moja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapi naweza kupata fiber sheet Mwenye kufahamu anipe ramani Na bei zinauzwaje Ova Fundi rangi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toyota Noah Category: Station Wagons Transmission: Automatic Colour: Gold Engine 1998cc Fuel: Petrol Mileage: 200000km Year of manufacture 2001 Condition: Used for 4year Price...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
NYASHO FOOD inawaletea dagaa wa kukaanga pamoja na wale ambao bado hawajakaangwa kwa bei poa. Tunauza jumla na rejareja kuanzia package ya 1000, 2000 na 5000 tshs. Mobile: 0679 147 967 Email...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu natafuta shamba la hekari tano linalouzwa ndani ya wilaya ya busega, lisiwe mbali na barabara kuu ya Sirari-Mwanza. 1. Sio lazima liwe limesafishwa 2. Urahisi wa kupata maji 3. Lisiwe...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, wakuu Natafuta hawa dagaa wa Zanzibar/ uono/ dagaa wa nyama kwa bei ya jumla. 0745098591 Nipo DSM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nissan tiida Ipo sokoni 2004 Km110000 Cc 1490 Black Nipe mlioni 6.9 tu Milioni sita na laki Tisa tu Njoo pm tufanye biashara
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari, Nahitaji karanga kama Tani 100. Naomba kujua wapi nitapata mzigo mkubwa kama huu na bei yake ikoje. Ahsante.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom