Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, Ninapenda kuuliza, nasikia kuna mnada wa Mbuzi na Ng’ombe Jumamosi katika Mji wa Kibaha eneo linaitwa Loliondo Napenda kujua upo sehemu gani hapo Kibaha. Asante C.c @mshanajr mrangi
3 Reactions
73 Replies
12K Views
Ndugu wa tegeta Ndugu wa mbezi beach Ngugu zetu wa Goba mupo Chumba cha 50000 6 months na lipa Wapangaji wasizidi wa 3 Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo Gypsum Tiles...
0 Reactions
5 Replies
718 Views
Specifications:: kiwe ndani ya geti, choo cha ndani, kiwe na mwonekano mzuri yaani kiwe kipakwa rangi ya cream au nyeupe, Location: kuanzia maeneo ya tabata bima, mawenzi, hadi kimanga,au tbt...
0 Reactions
3 Replies
516 Views
Iwe inakaa na chaji walau hata masaa mawili isiwe na tatizo lolote call/txt. 0768048752
1 Reactions
2 Replies
543 Views
Ndugu wa Tegeta Ndugu wa Mbezi Beach Ngugu zetu wa goba mupoo Chumba cha 50,000/= 6 months nalipa Wapangaji wasizidi wa 3 Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo Gypsum Tiles...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama unajijua ni fundi wa ac na uko Mwanza tafadhari naomba tuwasiliane kuna kazi
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Plot size: 1300 Square Meters Plot Status: Surveyed/Title deed Location: Mbezibeach, Goigi behind Crdb bank Price: Tshs 250 Million [ Negotiable ] For enquiry contact: 0716442950 or 0742141467...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini, Nilikuwa nahitaji kufahamishwa wanapouza mashine ya kutengeneza soseji au kama kuna mtu anaweza kutengeneza mashine ya soseji zile kama za kichina. Nimeambatanisha na picha hapo chini
0 Reactions
4 Replies
3K Views
(1) Deep fryer inayotumia gesi yenye container mbili zenye ujazo wa Lita 6 kila mmoja bei tsh 150,000/=(fixed) (2) Oxygen cylinder tsh 160,000/= Simu: 0735327523 DSM
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kiwanja kipo kimara suka/njia ya kuelekea Golan kina nyumba ndani yake ya vyumba 3 na jiko haijaisha ipo kwenye linta na foundition ya kujenga nyumba ya vyumba 6 na frem 2 tayar zimejengwa zipo...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari nauza pikipiki aina ya tvs 125 used ,iko dar es salaam kijichi, bado ina hali nzuri sanaa , injini haimjui fundi, documents zote zipo na bima bado ipo . Bei 1,450,000 (mazungumzo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Unahitaji mashine sasa Najidakia store & General supply tupo Kwa ajili yako mashine ya juice ya miwa utaipata Kwa million moja na Laki mbili tu inachuja na kuacha juisi yako ikiwa safi kabisa mtu...
4 Reactions
92 Replies
13K Views
Habari JF,Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nauzwa kiwanjaa kikubwa ambacho tayari kimepimwa na kuwekewa mawe Sifa za kiwanja: Ukubwa ni 900M² (square meter 900) Ardhi tambalale yenye...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Iwe nzima,dalali kaa pembeni
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa (Pagale) ipo Kigamboni DSM. Ukubwa wa eneo: SQM 500 Document: Hati safi kabisa ya s/mtaa. Location: Kigamboni Mjimwema. KM 4 kutoka ferry, nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
1. Chumba Sebule Choo ndani bila jiko. --Maji dawasco, fensi & Umeme Luku. --Bei Tshs 200,000/Mwezi -- Piga 0675107182 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
32 Replies
3K Views
wachimbaji visima virefu vya maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani au shambani pia tunafanya surveying (tafiti kubaini uwepo wa maji ) kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba...
1 Reactions
75 Replies
18K Views
Printer ni mpya kabisa haijatumika. Bei 450000. print scan copy inatumia cartridge mbili Njoo na maongezi Mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Back
Top Bottom