Habari za majukumu wakuu nna milioni tano nahitaji gari aina ya ist ya kuanzia maisha namba iwe c au b hamna shida isiwe na mazoezi tu nimejalibu kuunga unga pesa iongezeke imeshindikana...
Hi guys!
Natafuta wauzaji wa jumla wa nguo na viatu vya kiume ila wawe wanaimport wenyewe, tukielewana vizuri naweza kuwa customer wao. Targeted customers ni average income earners.
Unaweza kuniPM.
Habari ndugu zangu JF
Kioo cha tv yangu kimepasuka. Naomba kuuliza hvi hapa mjini Dar wapi naweza pata kioo cha tv inch 55??
Naomba Msaada ndugu zangu kama kuna mtu anajua wapi nitapata. Ahsante
kwa wale wanafunzi na wazazi wenye wanafunzi ambao wanasoma advqnced physics au diploma, nawapa bishara njema kwa kuwa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na Elias kihombo sasa vinapatikana kwa bei...
Habari!kwa muhitaji wa kusafirisha mizigo kutokea Dar es salaam kuelekea Mbeya mpakaTunduma waone A&E transportation kwani watafikisha mzigo wako kwa usalama zaidi na kwa wakati sahihi na kwa...
Habari zenu wapendwa.mimi ni mjasiriamali mdogo ninapack bidhaa mbalimbali zikiwemo ubuyu, visheti na tambi. Lkn changamoto yangu kubwa ni vifungashio. Naomba kwa anaejua vinapopatikana anijuze plz
Machine mpya ya kisasa ya kukatia nyama samaki na mifupa
Ina uwezo mkubwa wa kufanya kazi
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ni imara na ina warranty Ina motor yenye nguvu
Bei 1,350,000 tu Free delivery...
Wakuu Kama kichwa cha habar kinavosema
Nipo DSM, nahitaji sofa used la watu wawili, liwe Clean, at good condition
Bei natoa 80k
Kama unalo upo dsm njoo pm uchukue pesa chap!
PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE.
Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na...
Natafuta kampuni au dereva anihamishie vitu kutoka Dar kuelekea Mafinga na vitu vya ndani kitanda kabati etc...kwenye tar 26 au 270 mwezi huu.
Kama unainua kampuni au ww ni dereva ni PM contacts...
IFAHAMU TEKNOLOJIA YA QR CODE
Je! Umewahi Kufikiria Kuhusu Kuunda Msimbo Wa QR CODE Kwa Ajili Ya Biashara Yako? QR Code (Au Msimbo Wa QR CODE; Kutokana Na Kiingereza Quick Response Code) Ni...
Nauza Bumbell za mazoezi
KG 4 bei 40,000/=
KG 8 bei 45,000/=
Material chuma laini.
Faida/Kazi yake
1)Unatimia kwa mazoezi hasa ya mkono kujaza mkono (Biceps na Triceps)
2)zinapunguza mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.