Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kampuni ni Kampuni; Kunazo faida kibao za kumiliki Kampuni. Usipate taabu sana Tutakufanyia kazi yako kiurahisi, ni ndani ya masaa ama siku ama wiki tu kampuni itaanza kukuingiza pesa. Inategemea...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
habari ya wakati huu wadau. ninatumia Samsung J2 Pro kwa miaka mitatu sasa. lakini sasa betri yake imechoka. ikiwa na asilimia 30 simu inazima pia betri yake imevimba. Naombeni mnijuze wapi naweza...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Toyota Sienta # D Year, 2004 Engine, 1400cc Milage, 100,000 km Kuna jamaa anataka kuniuzia kwa 8.0 mil. Naombeni uchambuzi wenu ktk uimara wa gari hii, unywaji wa mafuta, safari ndefu mfano...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Toyota E 100 Gari nzima mnoo Imeridiwa rangi mara moja A/C ya kujaza Gas & Miguu haigongi Milioni 3 . Engine 5A,Cc 1490 Location:Mtoni Kijichi Sms/whatsapp 0699494650
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Friji Mpya Kabisa (Haijatumika) TShs. 700,000/- BRAND : VON HOTPOINT - 209L Capacity Fridge - Interior Thermostat - Bottle Guard Compartment - Transparent Shelves - Lock And Key - Dark Silver...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
....Millango iliyotengenezwa na Mbao aina ya Mininga ambayo haina kovu wala doa inauzwa... Bei yake ni 350,000 Ipo hamsini(50).. Urefu ni Cm 220 na Upana ni Cm 90. Ni mizuri sana kutokana na...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa Wasomaji wa Kiswahili DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019 Bei mpya za vifurushi vya DTSV vitakuwa ni: Jina la Kifurushi Idadi ya Chaneli Bei ya Zamani...
3 Reactions
26 Replies
25K Views
Wakuu nauza TV aina aborder Ina double glass yani vioo viwili,,cha nje kikivunjika kinabaki cha ndani Ina msitari kidogo tu hapo chini Bei ni 230000 Dar es salaam 0762693368
1 Reactions
11 Replies
1K Views
"Bado nasisitiza kuwa tusithubutu kufanya lolote kabla ya kuhakikisha kuwa Joram Kiango ni marehemu..." Ndivyo anavyosema mshiriki mmoja katika kikao nyeti, chenye usiri mkubwa. Kikao...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, Natafuta kibanda au frame ya biashara ya genge au vitu vya sokoni. Frame iwe maneno ya Sinza, Tabata, Kinondoni, Kigamboni.. Mwenye nayo tuwasiliane DM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauliza soko la ndimu na ndizi mzuzu. Kuna mzigo upo mbioni kukomaa; kama wewe unajishughulisha na upo interested tuongee biashara vikiwa tayari nikustue ila nijue bei yako kwa plastic ya ndimu...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Hii ni namna ya kisasa ya kuwapa kuku maji na inafaida zifuatazo. 1.kuku hawawezi chafua maji hivyo kuepushwa na magonjwa. 2. Huitaji kubadili maji mara nyingi ndani ya siku kama ukitumia aina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana Jf, nimefungua huu uzi wangu ni maalumu kwa ajili ya kufanyia mauzo ya vyombo vya ndani Vipya,ni vyombo tofauti tofauti kuanzia hotpot,Oven,blenders,sahani,mabakuli,glass na vyombo...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
KARIBU TUFANYE BIASHARA.
2 Reactions
64 Replies
18K Views
Nauza used azam full set which include: dish, receiver na kadi yake, wire. -contact: 0712518770 kimara. -risiti ipo -bei 80000
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kilivyojielekeza ndugu Watanzania wenzangu. Mimi Ni fundi carpenter na pia Ni mtaalam wa Scaffolding za aina zote iwe ya mirunda,bomba (black pipes) au (Scaffold...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Salama ndugu zangu ,licha ya changamoto nilizopitia katika ufungaji maana walikufa ngombe wawili kwa ugonjwa lakini sijakoma kufuga ...natamani na napenda Sana kufuga. Nataka ninunue either mtamba...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Kwa biashara, App au website inayo hitaji ku verify matumizi ya wateja wake kupitia SMS Anaweza kuwasiana nami Bei ni rahisi sana. 0620 736 315
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ICS GROUPS tunauza milango ya mbao za mninga au mkurungu bora na kwa bei nafuu katika mkoa wa Dar es salaam. minimum order ni milango minne kwa design unayotaka . Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari zenu wadau. Well, naulizia chumba kwa maeneo ya karibu na Chuo cha Nelson Mandela NM-AIST naweza kupata kwa bei gani wadau...? Ningependa kiwe ndani ya fence coz kuna uwezekano wa kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom