Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wakuu kwanza napenda kuwapa hongera wote kwa ushindi mno wa 22-0 japo wengine hawapewa kombe lao. Pili napenda kupongeza Harmonize kwa show kali kafunika japo kuteleza sio kuanguka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu? Mimi ni mkulima wa zao la ufuta mkoa wa manyara. Soko la ufuta lipo vipi mwaka huu 2020? Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau - JamiiForums Sent using...
0 Reactions
23 Replies
49K Views
Pwani Real Estate tumekuwa kwa muda wa miaka 4 mfululizo tunazalisha tofali na kuuza material ya ujenzi kwa cash na malipo ya awamu awamu. Lakini kutokana na wateja wetu baadhi kulipia materials...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Dalali yoyote mwenye vyumba vikali (vina maji,umeme, security,gypsum/selingbod nzuri, karibu na barabara) maeneo ya ubungo external, mwananchi, Tabata na sehem yoyote iliyopo karibu na centre ya...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Wakuu msaada naomba kujua lodge nzuri maeneo ya makumbusho isiozidi 25,000 Jina.......... Bei............ Asante
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nimefurahi at least watu wenye idea nzuri za matangazo wamepata nafasi ya kufanya kazi. Tangazo linatakiwa kuwa more than just tangazo, linatakiwa kuwa kiburudisho ambacho hata kikijirudia...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Inspekta Kombora anaitwa katika hoteli moja jijini Dar es Salaam ambapo anaonyeshwa mwill wa msichana aliyeuawa kikatili kupita kiasi. Ngozi na nyama ya uso wake mzima na sehemu ya shingo lake...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu nauza TV aina aborder Ina double glass yani vioo viwili,,cha nje kikivunjika kinabaki cha ndani Ina msitari kidogo tu hapo chini Bei ni 230000 Dar es salaam 0762693368
0 Reactions
6 Replies
2K Views
*MAELEZO YA FURSA YA INCLUSIVEFX.COM* *Unachotakiwa ni kuwa na mtaji wako kuanzia dollars 50$ yaan sh.130000/= na kuendelea na watakulipa kila siku asilimia 1.6% hadi asilimia 2% ya pesa...
2 Reactions
55 Replies
9K Views
Je wewe ni mmiliki wa bidhaa au huduma mbalimbali?Je ungependa kuwafikia wateja wengi ili wafahamu kuhusu huduma zako na bidhaa zako?Je ungependa kutumia mbinu za kisasa za masoko ambazo...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Sorry ndugu zangu naomba kuuliza anaejua bei ya Gari Mitsubishi Rosa (used) but not in Tanzania kwa showroom za Dar?? Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
17 Replies
9K Views
32 LED TV OULING TV Ni nzima inaonyesha vizuri BEI NI TSH 240,000/= TU. Ipo Mbezi Mwisho Wasiliana nami: 0789830396 Wahi Mapena Offer ni Yakwako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa yeyote anaeuza gari kama hii anichek 0765 494548
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Naomba ushauri
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SOLD BY THE OWNER TOYOTA VITZ NEW MODEL-2008 Asking Price: TZS 8,500,000 Location: Dar es salaam, Tabata Low Mileage: 64,000KMs Number: T*** DNY Imported: Dec 2017 with 59,000 KMs, New Tires...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello Jamii Forum Members. Autocom From Japan Tanzania Branch, we are selling used cars from Japan. Toyota Raum for fair price. price: 2200 USD (4,906,000) Tax and Registration: 5,293,360.53...
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari wakuu Mwenye gari zuri no kuanzia B Nipo DSM kama upo nicheki. Lakini lazima twende TRA,na polisi kwa ajili ya ukaguzi wa umiliki pia kutest gari umbali mrefu lisije kwenda kilomita moja...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Najidakia kama watengenezaji na wauzaji wa mashine mbalimbali zikiwemo za tofali tumekuwa tukipokea malalamiko mengi hasa kwa makanjanja wachache katika sekta ya wazalishaji machine hapa nchini...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu. Naomba kuuliza kama kuna mtu anauza vipimo vya asali (honey refractometer) au naweza kupata kwa mtu gani au taasisi gani (connection) ya kuvipata hivyo vipimo kwa Tanzania
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TOYOTA IST (DCZ) Make : Toyota Model : Ist Engine Capacity Cc: 1290cc Mileage: 95,000km+ Location : Tabata Fuel: Petrol Standard features: Good Tyres Excellent Condition Transmission: AUTOMATIC...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…