Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hbarini wanajamvi? Ninazo modem zenye uwezo wa 4G na hazijafungwa kwa mtandao wowote...hivyo ukiwa na modem hii utaweza kutumia mtandao wowote. Yaani ukiwa na line ya 3G/4G utaweza kutumia modem...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
BUYUNI BEACH PLOT Cal.+255 788-224220 +255 767-562153 UMBALI NI 37 KM KUTOKA KIGAMBONI FERRY -viwanja vimepimwa kwa square meter 400 (20 kwa 20) -Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Habari ndugu zangu, nauza duka langu lililopo Tandika double kibin sokoni, duka ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukari, ngano, mafuta, sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000. Biashara...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Nauza Toyota rav4 Kili time shillingi milioni 8. Ni manual Ya mwaka 2000 4 wheel drive Petrol Leather seat. Wasiliana na Prosper 0765868128 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajamvi naamini humu wapo wajasiriamali waliojikita katika biashara ya furniture ama useremala. Nahitaji: Kitanda, mbao ya mkarati, kiwe futi 6 kwa 6 Kabati la milango mitatu, mbao...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari ya jioni Natumia mko salama na mmesherehekea vizuri mwaka mpya Nahitaji Mtaalamu ambaye anaweza kunitengenezea Vitabu vya Vicoba. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Nyumba self contained four bedrooms inapangishwa morogoro kihonda kwa chambo jirani kanisa na stendi kuu ya mwendokasi wa SGR. Umeme, fence, maji vipo. Nyumba ina tiles gipsum and aluminum...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAKE: BMW MODEL: X3 E83 2.5i ENGINE: M54B25 (2494cc) MILEAGE: 59,398 YEAR OF MANUFACTURE: 2005 FUEL: PETROL COLOR: WHITE TRANSMISSION: STEPTRONIC AUTOMATIC OPTIONS: PANORAMIC MOONROOF...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze, Kibaha. Bei 6500 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray 200, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es salaam ilala amana
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Poleni na majukumu ya kila siku, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Azam king'amuzi Dishi lake HDMI offer yangu 110,000 ,nipo Dodoma.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tarehe 25/8/2020 serikali imefungua maombi ya kuanza kuomba kujiunga katika vyuo vya ualimu kikiwemo PATANDI.... Kimsingi vyuo vyote vya ualimu vitaanza kutoa STASHAHADA baadala ya ASTASHAHADA...
0 Reactions
4 Replies
19K Views
Wakuu nauza rav 4 kwa tsh 8,000,000/-, ni old model,imetembea kilometa 150,000,ina rangi nyeusi,ni ya milango mitano.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Forum. Naitwa Daudy napatikana Arusha najihusisha na ufundi umeme wa magari, lolote linalosumbua kwenye gari yako kwa upande wa umeme wasiliana nami kupitia namba: +255767944367...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwanza tupeane pole na hili janga lililovamia dunia yetu. Lakini hatuna budi kupambana nalo litoweke hapa duniani kwa kufuata yale ambayo wataalamu wametuambia. Mbali na hapo, ninapenda...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi. Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja. Eneo: MBWENI-Maputo, Maarufu kama Kwamasista. Ukubwa: Kimoja ni SQM 1227, Kingine ni SQM 1234...
1 Reactions
70 Replies
12K Views
Kwa wale wapenzi wa riwaya za Hayati Ben Mtobwa, ambaye mpaka sasa tumeweza kufikisha riwaya aina 15 zikiwemo riwaya za kipelelezi zinazombeba Joram Kiango kama mpelelezi hodari anayeweza kufumbua...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau tunazitambulisha kwenu kambi popote mashine ya kusaga na kukoboa ikiwa na matairi popote unaenda nayo hizi mashine zina bei kutokana na ukubwa wake au size za vinu Mashine ya kusaga kinu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Kama nilivopokea (As received) Nimeokota vyeti vya *SAMSON Y MWAMBWIGA* 1. Result slip ya form four 2. Result slip form six 3. Cheti cha kuzaliwa 4. Cheti cha kifo cha mzazi Anitafute...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania wenzangu Mimi vijana wenzangu tumeamua kwa pamoja kuunganishwa mawazo yetu na nguvu zetu kwa pamoja!. Tunashughurika na kazi tajwa hapo juu pia tunafunga gpsum board aina zote na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Onyesha uzalendo pigia vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania kwenye link hiyo hapo chini tusaidie kuvutia watalii nchini kwetu. Ni rahisi tu. Wakenya huwa wanatupiga bado eneo hili. Tupende...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…