Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Karibuni sana kwa huduma za Electric Fence Installation. Garama zetu ni 25000/= per meter. Tupigie kwa 0766139379/0677412479 Tunafanya kazi mikoa yote. Ofisi zetu zipo Makumbusho buss stand.
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu, gari zinakodishwa kwa town trip na zinapatikana Dar es Salaam. Moja ina tani 3.5 aina ya TATA nyingine ina tani 3 aina ya Mitsubishi Canter. Gari zinafaa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mifumo bora ya Umeme, muonekano bora na matumizi sahihi ya Umeme karibuni sana FAABI Electrical Service Provider Ltd. Tunapatikana Sinza E. Jirani na Uwanja wa mpira wa TP. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza seat covers za viti vya harusi kwa TSH 10,000 kila moja na Sashes za viti kwa TSH 8,000 kila moja (used). Seat covers zipo sampuli nne za rangi nyekundu, pink, cream na brown (chocolate)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Lala usingizi mnono kwenye neti nzuri na ya kisasa. Neti 1 yenye ukubwa wa 6*6 na Bomba mbili ngumu kuvunjika. Bei 120000 Dar na mikoani tunatuma. Mawasiliano +255 620 301 071
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Imeuzwa tayari
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Baiskeli elfu 70 tu usafiri wa mjini huu Godoro elfu 55 tu lina foronya lake 4*6 Sofa zipo tatu kila moja laki moja na 70 tu Jidakie haraka sana hizi sofa Feni elfu 32 tu TV chogo inchi 24 laki...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Ukifika kwa Hawa decor utajipatia urembo wa chupaa kwa bei nafuuu.... Mfano chupa plain kwa tsh 5000.. Chupa yenye urembo kama mistari ,vidoti, lovesdoti kwa tsh 7000 na chupa yenye ua kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Madale mwisho wa magari karibu na barabarani kina ukubwa wa square 600. Kimeshapimwa bei million 8.5 no: 0655 628 795
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Matumaini mpo salama humu wakuu. Kama mtu ana boksi la tv hisense inc 49 tufanye biashara maana nina uhitaji sana na hii kitu.
1 Reactions
7 Replies
787 Views
Habari zenu, Natafuta mayai ya kisasa kwa Bei ya jumla Kama trei 100 kwa week. Nachukua kwa Bei ya shamba ya Sasa au ikizidi basi iwe kiasi kidogo ambacho naweza kukimudu. Tuwasiliane kwa namba...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu mabibi na mabwana. Nilikuwa nahitaji mwenye kuwa na simu mbovu aina ya Tecno W5 tuwasiliane pm, lengo langu ni kuhitaji board ya nje ya simu tu, wenye nayo aje PM.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau nahitaji vyumba viwili yaani chumba sebule choo cha kujitegemea hàta isipokua master, kodi 80 pia kisiwe mbali na barabara
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sofa zipo tatu kila moja laki moja na 70 tu Godoro zipo tatu Moja -85000 La pili -65000 La tatu -55000 Baiskeli -85000 Vitu used bei kitongaaaa ni najidakia store piga simu 0762612213
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Miongoni mwa huduma ambazo zimekuwa kimbilio la wajasiriamali wengi, ni huduma ya kutoa huduma ya vyakula kwenye sherehe au mikutano (cartering services) na wengi wanaofanya shughuli hii, wamepata...
3 Reactions
13 Replies
11K Views
TCL 55" LED 1080 HD HDMI 2 PORTS IN, USB 2 , 2 SETS FLOWER PIN plus lock ya ukutani na miwani ya 3D model: TCL LED55V7300Q3D Hii sio smart tv ila ina 3D Option na miwani ya kuangalia 3D kama...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari Nipo Dar, ninahitaji jiko la kuoka mkate kwa mkaa, tafadhari tuwasiliane, 0786 711 786 kama hili hapa chini, nitafurahi nikimpata mtengenezaji ambaye si mchuuzi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mashine za kukatia nyama aina zote mpaka samaki zinapatikana kwa bei ya 1.3M ya kitanzania. Mashine ziko Mbezi Msakuzi na zimebaki nne tu. Karibuni sana. 0682931592 whatsapp/0673958899 Call...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Used tecno spark 3 pro Android version 9 Ram 2gb Internal memory 32GB Box na risiti vipo Eneo Temeke (Dar) Contact 0712518770 Bei- 200,000
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Habari Jf! Kuna tablet itel model iNOTE it1701 inauzwa kwa Tsh 140,000/= maongezi yapo Specifications iTel 1701 (it1701) Major Specification Highlight Network: 2G – Yes, 3G – Yes , 4G – N/a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom