Habari kwa mahitaji ya kudizainiwa na kuchapishiwa sticker au lebel za bidhaa mbalimbali zikiwemo za wajasiriamali ...!!
Design 18,000/=,ofisi ipo k.koo mtaa wa Narung'ombe.kwa mawasiliano zaidi...
Hello! Kwa mahitaji ya viungo vya chai na pilau vilivyosagwa Na kupakiwa vizuri ,vyenye kuleta ladha na harufu nzuri mwenye aidha chai ai pilau lako wasiliana nasi kwa simu no 0653 970 936
Bei...
Habari kwa jina naitwa Khadija ni afisa masoko ktk kampuni ya FEKAS GENERAL SUPPLY tunajihusisha na kudizain pamoja na kuprint ticket za mabasi, cargo receipt, invoice, mainfest
Bei
Full color...
Jamani wana JF nahitaji kujifunza udereva wa magari kwa mda mfupi kutoka Dar es salaam kwasababu mm mwenyewe nipo dar es salaam, nahitaji mnitajia mda wa kumaliza hayo mafunzo ndani ya kipind...
Habari za sahiz wakuu naulizia driving school nzuri iliyoko Dar bei zao na muda ambao mtu anaweza chukua mpaka kumaliza mafunzo ya kuendesha gari ambayo ni manual. Hii ni kwa dereva wa magari ya...
Hello Wana JF. Nauza mbwa dume aina ya German Shepherd 1.1 milioni ila Maongezi yapo .Ana chanjo zote ,kichaa cha mbwa ,pafoo ,amezaliwa tarehe 5 mwezi wa 4 2018 ,BADO POPY ,NI MZURI SANA KWA...
Kwa aliye na mbwa aina ya German Shepherd na anauza naomba anicheki PM. Ila na-prefer wawe wadogo at east miezi 2 au 3.
Bei iwe nzuri, ninahitaji wawili.
Nimepata kusoma sehemu tofautitofauti inaelezwa kwamba hii ni aina ya mbwa wenye akili zaidi miongoni mwa aina za mbwa kuwahi kutokea.
Kutokana na hili nimehamasika kujipa muda wa kufanya...
Habari wakuu!
Nahitaji mbwa aina ya german shepherd, kwa ajili ya kufuga na ulinzi. Sifa awe ameacha kunyonya na ningependelea awe mix ya hawa wa kwetu na pure german shepherd.
Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha:
Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya...
Je unasumbuliwa na kuta yako ya nyumba kuharibiwa na fungus?. Na nymba yako imepoteza muonekano mzur?.
Tutafute na tukufanyie kazi yenye garantee achana na kuweka tiles sehem ambayo haitaji tiles...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea
Sandals za kiume pamoja na za kike zinapatikana kwa bei nafuu sana
Za kike jumla 5000 kwanzia pc 10
Reja reja 7000
Za kiume jumla 7000
Reja reja 10000...
Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer...
Kampuni ya Ante BV. ya Uholanzi inajishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa mashine na Mitambo ya kilimo na usindikaji wa Maziwa na vyakula vinginevyo. Mashine hizi ni mipya kwa oda maalum toka...
Tunatoa huduma ya kurudisha data zilizopotea ama kufutwa kwa bahati mbaya (Formatted and deleted data)
Kutoka kwenye
-Simu
-Laptops
-External Drive
-Hard disk Drive
-Flash Drive
-memory card
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.