Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari kwa mahitaji ya kudizainiwa na kuchapishiwa sticker au lebel za bidhaa mbalimbali zikiwemo za wajasiriamali ...!! Design 18,000/=,ofisi ipo k.koo mtaa wa Narung'ombe.kwa mawasiliano zaidi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello! Kwa mahitaji ya viungo vya chai na pilau vilivyosagwa Na kupakiwa vizuri ,vyenye kuleta ladha na harufu nzuri mwenye aidha chai ai pilau lako wasiliana nasi kwa simu no 0653 970 936 Bei...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari kwa jina naitwa Khadija ni afisa masoko ktk kampuni ya FEKAS GENERAL SUPPLY tunajihusisha na kudizain pamoja na kuprint ticket za mabasi, cargo receipt, invoice, mainfest Bei Full color...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani wana JF nahitaji kujifunza udereva wa magari kwa mda mfupi kutoka Dar es salaam kwasababu mm mwenyewe nipo dar es salaam, nahitaji mnitajia mda wa kumaliza hayo mafunzo ndani ya kipind...
0 Reactions
6 Replies
24K Views
Habari za sahiz wakuu naulizia driving school nzuri iliyoko Dar bei zao na muda ambao mtu anaweza chukua mpaka kumaliza mafunzo ya kuendesha gari ambayo ni manual. Hii ni kwa dereva wa magari ya...
1 Reactions
15 Replies
41K Views
Hello Wana JF. Nauza mbwa dume aina ya German Shepherd 1.1 milioni ila Maongezi yapo .Ana chanjo zote ,kichaa cha mbwa ,pafoo ,amezaliwa tarehe 5 mwezi wa 4 2018 ,BADO POPY ,NI MZURI SANA KWA...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Kwa aliye na mbwa aina ya German Shepherd na anauza naomba anicheki PM. Ila na-prefer wawe wadogo at east miezi 2 au 3. Bei iwe nzuri, ninahitaji wawili.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata kusoma sehemu tofautitofauti inaelezwa kwamba hii ni aina ya mbwa wenye akili zaidi miongoni mwa aina za mbwa kuwahi kutokea. Kutokana na hili nimehamasika kujipa muda wa kufanya...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Habari wakuu! Nahitaji mbwa aina ya german shepherd, kwa ajili ya kufuga na ulinzi. Sifa awe ameacha kunyonya na ningependelea awe mix ya hawa wa kwetu na pure german shepherd.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha: Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Mzigo mpya wa iPhone umeingia dukani kwetu karibuni g_electronics_ available stock iPhone 6splus -650,000 iPhone 8plus 64gb -1,150,000 iPhone 8plus 256gb -1,250,000 iPhone 7plus 128gb...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Je unasumbuliwa na kuta yako ya nyumba kuharibiwa na fungus?. Na nymba yako imepoteza muonekano mzur?. Tutafute na tukufanyie kazi yenye garantee achana na kuweka tiles sehem ambayo haitaji tiles...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea Sandals za kiume pamoja na za kike zinapatikana kwa bei nafuu sana Za kike jumla 5000 kwanzia pc 10 Reja reja 7000 Za kiume jumla 7000 Reja reja 10000...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
SAMSUNG A2 core Used condition Phone n box 150,000/= Call/whatsapp:::0715767420
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Brand: Massey Ferguson Model: 290 Engine Power: 80 HP 2WD Bei mil 21 mazunguzo yapo 0742228231
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Year manufactured 2005 Fuel type; PETROL Mileage coverage 114,000km Engine size 2354cc Location. Mbezi Beach, Dar es salaam. BEI NI 19M.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Madini aina haya yanatakiwa,ni aina ya amethyst ya Congo!yanunuliwa kwa makilo....yawe na rangi na yawe na crystal shape,bei ya kununua ni 20000 mpaka 25000 kwa kg 1..order hiyo nimepewa na buyer...
1 Reactions
31 Replies
13K Views
Kampuni ya Ante BV. ya Uholanzi inajishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa mashine na Mitambo ya kilimo na usindikaji wa Maziwa na vyakula vinginevyo. Mashine hizi ni mipya kwa oda maalum toka...
5 Reactions
21 Replies
8K Views
Wadau naomba msaada wenu Mimi hapa nilipo Nina milioni 4 je ninaweza kupata gari nzuri ya kutembelea
2 Reactions
41 Replies
12K Views
Tunatoa huduma ya kurudisha data zilizopotea ama kufutwa kwa bahati mbaya (Formatted and deleted data) Kutoka kwenye -Simu -Laptops -External Drive -Hard disk Drive -Flash Drive -memory card Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…