Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Jamiiforms, Natafuta mashine za kukamua juisi za matunda, Mashine nazotafuta si zile ndogo nataka ambazo zitazalisha kwa haraka zinazotumia umeme. karibuni kwa michango yenu Sent using...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Samahani Wadau kwa hili Naombaa kuliza gharama na aina za mashine za kuzindika pombe ya ndizi (banana wine) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumia mashine ya kulala nahitaji graphic card zinazo fit hapa znaitwa low profile nataka size yoyote ile ata iwe mb 512 sawa yan yoyote ila iwe low profile.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za weekend wana jf Nauza kabati la viombo bei rahisi, limetumika ila bado lipo katika ubora wake. (Kama ni service maybe kubadilisha kapeti tu) Ni la mbao ila limenakshiwa tu kwa rangi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza kabati ya mbao inafaa kwa biashara kama ya vitafunwa, vipodozi,chips n.k Nimeitengeneza na kuitumia kwa miezi 3 tu.Utabadili kioo cha juu kimepasuka. Nauza elfu 35 tu,niliitengeneza kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
KABATI NA UBAO WA KUTUNDIKIA NGUO Lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma. Ni kubwa na pana. Kabati Tsh 300000 Ubao umekatwa katikati Tsh 100000 maelewano yapo Nipo dar mbez bich... Wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni sehemu gani naweza kupata boksi hizo mfano hapo chini nimetuma picha yake. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF Naomba kupata maelekezo jinsi ya kuanza kufanya biashara ya kununua perfume na manukato kutoka Zanzibar na kuuza Dar. mwenye kujua au uzoefu anielekeze maduka ya manukato na...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamii naomba ushauri wa biashara ya matairi yaliotumika kutoka ulaya yaani used ni bei gani kwa Tanzania kwani kwa mwenye kujua wenzetu watu wa Afrika magharibi wao wanaingiza kwao sijui...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Nimeona niwaokoe wenzangu humu bna mkifa nitabaki na Nani? Hii sanitizer bna nauza mls 100 elfu 9000 tu Ukichukua pc 12, 8500 Mawasiliano 0679834671 Ndogo yake mls 50 nauza elfu 6 Mkipiga simu...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
TOYOTA LANDCRUISER STATION WAGON COLOUR- GREY YEAR- 2008 [emoji91] CC- 2690 ENGINE NO- 2TR PETROL K/m- 85 New tyres FULL DOCUMENT MILLION 31 Call number 0717436363. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Papai za Kisasa za mda mfupi Kilimanjaro Tunauza miche ya papai (Malkia F1). Hii ni mipapai ya kisasa toka Taiwan. Mipapai hii uweka matunda ikiwa na urefu usiozidi mita moja toka ardhini. Kila...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Ni matumaini yangu mwenyezi mungu anawabariki katika shughuli zenu..!! wataalam natafuta mtu anayeuza galatone(gitaa/ acoustic guitar) lenye fret board nyembamba, anayeuza seriously basi naomba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Gari iko vizuri na Haina tatizo lolote Haijawahi kufunguliwa engine Ac inafanya kazi vizuri Ni automatic 6 cylinder Petrol Gari iko dar kigamboni Bei ni Milioni 3 Karibu 0763969066 nikuuzie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba kubwa yenye vyumba vinne,sebule kubwa,dining,veranda,jiko,jiko lingine la nje na kijumba kidogo cha pembeni. Iko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 70 kwa mita 35.Iko vijibweni dar.Bei ni...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Wakubwa anaejua chimbo za kulenga mitumba nguo hasa kadet,viatu nk kwa jumla anisaidie.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
CARER OPPORTUNITY at Ibra Dream Financial Services Company; Ibra Dream financial Services Company is looking an experienced administration officer, sales and Marketing officer personnel to join...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Wakuu habari anayefahamu eneo zuri au Kama unalo eneo naweza kuweka banda la chips niPM tuyajenge. Ni kwa maeneo ya Morogoro mjini kama unaweza kuwa na mgahawa mi nikaongezea chips au una duka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji mtu ambaye ni IT na anaweza kunifundisha nikaiva nikawa programmer nikawa na uwezo wa kutengeneza programme mbalimbali,kutengeneza website,application na kuziweka playstore,games na java...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kinyozi anatafutwa, ofisi ipo KAWE, UKWAMANI, uswahilini. Ni mpya kabisa. Kama upo serious Tafadhali DM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Back
Top Bottom