Ni mashine zinazotumia teknolojia mpya ya kufanya kioo cha simu kiwe imara maradufu.
Mashine ziko 2 kwenye brifcase.
Ni rahisi kuzitumia
Zinaweza kukuingizia kipato zaidi yya 100,000 kwa siku
Bei...
Je, Umefunga Solar au Backup ya umeme na inakusumbua? Basi RESCO T LIMITED imekuja na suruhisho lako.
Tunakuja kukusolvia tatizo lako kwa gharama nafuu na tunakupa ushauri wa kitaalamu na...
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
Unasumbuliwa na simu yako:
IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa wa Aggrey na Msimbazi ,
Tuna flash na kutoa lock
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Kama kuna wafanyabiashara wa vitanda na magodoro humu jamvini, basi kuna hii biashara ya vitanda Vya umeme ambayo yanatumia electrc pump kuyajaza.
Ni bei poa
Their reliable and affordable to buy...
Machine ya kukoroga sabuni za Maji inauzwa. Ina uwezo wa kukoroha Lita 200 kila dk,15 bei ni sh million 5 tu. Sema nami namba hizo: 0784692584: 0715888376 welcome.
Wakuu natafuta vox wagon batttle ..a.k.a mgogo wa kobe new model
Bajeti yangu ni milion 5 m kama unalo unauza fanya kuni pm faster tumalize biashara mapema
Nina uhitaji nalo sana kwa harakati...
Hebu tupeane updates za bei ya kujaza gesi mtaani ilivyo
Maeneo mengi kujaza kwa kamtungi kadogo ni 23000 kutoka bei ya awali 19000
Bei ya kujaza mtaani kwako ikoje?
Sent using Jamii Forums...
Habari za muda huu wana jamvi,
Natumaini humu jukwaani wapo wajuzi wengi kwa nyanja tofauti tofauti, kwa wale wataalam wa vifaa vya electronic hususani TV za kisasa naomba wanishauri ni ipi...
MULL_KUKU
Pata kuku wa kienyeji pure kwa jumla na rejareja bei yetu ni nafuu.
Unachatakiwa kufanya toa order yako kupitia namba zetu
0653232350
0693552575
Ukihitaji kuandaliwa utaandaliwa bure...
Habari wadau,
Ninauza kuku wakubwa wa kienyeji. Kila mmoja ni 14000.
Nipo Dar, Bunju ila mzigo unaletewa ulipo kuanzia watatu, ama ukipenda uje uchague bandani.
Namba zangu: 0683069444
Sent...
Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo...
Ndugu wana jukwaa tunapenda kuwapa taarifa ya kuwa tunauza spare za magari ,mapambo ya magari, battery vilainishi vyote pamoja na tairi za magari mpya na original kabisa tunapatikana kinondoni...
MIKOPO YA MASHINE NA ZANA ZA KILIMO BILA DHAMANA 0652556833, 0754397178
Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) Iliyopo Dar Mbezi Luisi, inaunda mashine mbali mbali zenye bei...
One of our Best Solar System Installed by RESCO (T) LTD at Kigamboni Dar es Salaam.
KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZETU BORA ZA SOLAR KWA MKOA WOWOTE TANZANIA.
WASILIANA NASI 0784232526
INSTAGRAM...
Ni office kubwa, kuna partition mbili kubwa
Kuna choo ndani
Madirisha makubwa
Parking nje ipo ya kuweka gari
Location ni nyumba za Nhc opposite na Dar free Market
Kodi ni laki nne na nusu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.