Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wanajamii forum. Natafuta chumba single maeneo ya ubungo kisiwe mbali zaidi ya dk10 na barabara pia nyumba iwe na hali nzuri pamoja na maji ndani. Bajeti yangu ni elfu 50 kwa mwezi. Kisiwe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau nahitaji kusafirisha mizigo, familia inahamia Musoma kutoka Morogoro. Naomba kuunganishwa na watu wa malori yanayotoka Dar kwenda Mwanza/Musoma. 0621457795
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Fundi wa madishi nipo hapa kwa mkoa wa Dar es salaam. 1. Nafunga madishi ya aina yoyote. 2. Napachika Tv ukutani. 3. Nafanya pia kazi ya umeme (wiring mpya, kurekebisha shoti, kufunga mafeni na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
mwenye nayo pls muhim saaana wapendwa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NISSAN X-TRAIL VS TOYOTA HARRIER CAPACITY; harrier ina uzito mkubwa zaidi kwa kuwa na maximum weight ya 2700Kg lakini x-trail ina uzito wa 2170 Kg lakin x-trail ina nafasi kubwa ya kubeba mpaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Karibu katika group langu ambalo utajifunza kutengeneza dawa za asili Ukitaka kujiunga katika group tuma namba yako ya whatsapp PM Mafunzo yataanza tarehe 15 / 11 na kuisha 15 / 12 Hii itakua free
1 Reactions
4 Replies
961 Views
Wakuu, Niko na Led projector ziko sokoni,details zake: Image tech :TFT LCD Contrast:800:1 Native resolution 320x240 PX Supported resolution 1920x1080 PX Light:LED Projection distance 0.8-2M...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tcl led 40d2700 smart tv nch 40 used Tcl smart tv fullhd resolution ina access ya internet yaani ni smart tv so iko na ethernet/wi-fi wireless so unaweza connect na simu yako or router nakuacces...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Iweke gari yako/pikipiki yako katika ulinzi na usalama wa uendeshaji wake kwa kufunga mfumo wetu. GPS car tracking system itaweza kukupunguzia gharama za uendeshaji wa gari yako na kuongeza...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hyyyyy wana Nangwanda sijaona... Now nipo Dar nataka nije Mtwara kuleta miradi yangu huko. Vp kuhusu pesa za korosho zishaanza kuzagaa huko...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wakuu nauza kiatu cat original kabisa kimenunuliwa UK kwa bahati mbaya hakijanitosha..ni namba 42. bei 180000
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Budget yangu ni 40k kodi miezi 3
1 Reactions
2 Replies
812 Views
Wakuu Kama kuna anaejua mbegu nzuri ya pilipili hoho na sehem gani ntapata kwa hapa Dar Nipo Dar ntashukuru kwa msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anaejua aina ya haya mawe aniambie wadau,na Soko lake liko wapi,jiwe lina rangi ya kijani
1 Reactions
127 Replies
12K Views
KWA ANAEJUA GARI AINA YA VEROSSA ANIPE ELIMU MAANA NAONA KAMA NI GARI NZURI KWA MTAZAMO.ALIYEWAHI KUITUMIA ANIAMBIE ILIVYO
1 Reactions
11 Replies
4K Views
ENGINE 3S. CC1880 MANUAL TRANSMISSION. 4WHEELDRIVE NEW TYRES. CALL 0759974831
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ram 3gb Rom 32Gb Bei 130,000 Mawasiliao 0683520660
0 Reactions
1 Replies
574 Views
Nipo chini ya miguu yenu tafadhali...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nimechoka sana kiakili kimwili na kiroho.......... Wana jukwaa nimekuja kwenu. Wakuu nahitaji chumba...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
ANDROID TV BOX MXQ PRO 4K ULTRA HD INTERNET TV wapenzi wa mipira, movies, tamthlia hii itawafaa, TV box inakuwezesha kuangalia channels nyingi Sana bila kutumia king'amuzi chochote, utaweza...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
TV tajwa hapo juu inauzwa imetumika miezi mitano tu Bei: 150000/= nicheki 07643394000 Mwanza
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom