Eneo lina ukubwa wa heka moja.lipo goba kabla ya kufika Goba center,mita 300 kutoka kwenye lami na km 4 kutoka Bagamoyo road.
Bei kwa eneo lote 180m
Na pia tumeligawanya kwa plot 4 kila plot 50m...
Haloooo hii stesheni ni moto wa kuotea mbali wakuu, ni mwendo wa ngoma kali mwanzo mwisho, mchanganyiko na ngoma kibao za zamani hasa bongofleva, itafute utafrahi. Clouds, wasafi tupa kule.
Natafuta gari ya kununua aina ya IST namba D mil 6 aliyonayo aje DM
Au anipigie +255789702863
ANGALIZO: Tangazo limekamilika usije na sound kama ni dalali utajua utafanyaje kwenye mchakato wako.
BIDHAA HALISI KATIKA UHALISIA
[emoji1371] Ubuyu mtamu sana kutoka Zanzibar Babu Issa
[emoji1371] Njoo ujibebee Ndoo ya ubuyu iliyojaaa + Pakti 1 ya ubuyu BUREE
[emoji1371] Ubuyu huu unapatikana...
KAMATA FRIDGE JIPYA NA LAKISASA AMBALO ALICHULUZISHI MAJI AKUNA MAMBO YAKUPIGA DEKI PINDI UMEME UNAPOKATIKA NA YAKO NA COOLPACK NDANI INAYOTUNZA UBARIDI PINDI UMEME UNAPOKATIKA KWA MASAA ZAIDI YA...
Habari wapendwa.
Mimi nimeanza na kujishughulisha na uuzaji wa kuku wa kienyeji katika soko moja huku kanda ya ziwa(SHINYANGA).
Sina mda mrefu sana tangu nianze.soko liko vizuri lakin changamoto...
Habari wana JF.
Napenda Kuwa julisha Kuwa sasa tumefungua ofisi kwa ajili ya kusafirisha mizigo na vifurushi kwenda mahali popote Tanzania kuokea mbeya..
Tunasafirisha mizigo kutoka mkoani...
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO....
Nauza mbegu za chia Chia seeds kwa bei rahisi Kama ifuatavyo:
Kuanzia kilo 31 - 1000, Tsh 4000@kilo
Kuanzia 21-30 , Tsh 4500@kilo
Kuanzia 11-20,5000@ kilo
Kuanzia...
Habarini wapendwa.
JF kwa wafugaji wa kuku wa nyama na mayai nauza cages za kufugia kuku wa mayai na kuku wa nyama hizi cages ni imara na za kisasa cage moja ni laki tano na hamsin(550000) kwa...
Viwanja vinauzwa bei poa Mapinga Kibosha. vipo Viwanja Vitatu ukubwa wake 40*40 kila Kiwanja. Umeme upo.
Hapajapimwa. Taratibu zote za Kisheria zitafatwa ikiwemo Serikali ya Kijiji.
Bei ni...
Wadau,
Yeyote mwenye kijiko cha kupakilia mchanga kwenye malori, ipo kazi hapa kwetu Misugusugu, Kibaha. Kazi itadumu kwa miezi miwili au zaidi kwa kupakilia eka mbili au zaidi za mchanga, kina...
Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia.
Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama...
Natafuta watu wanaofanya biashara ya mchele sehemu za miji tuweze kufanya biashara ya mchele kama tunaweza kukubaliana niwe nakununulia kutoka kwa wakulima na kuukoboa pamoja na kuugrade na...