Je Unaitaji Mahindi Au Mchele Kutoka Morogoro ? Mahindi Safi Kabisa Kutoka Morogoro Mziha Na Kilindi Tanga Yanapatikana Kwa Bei Nafuuu , Vilevile Mchele Super Kutoka Mukindo , Dakawa , Turiani (...
kampuni ya webtechnology ya kariakoo, wanakuletea ofa kabambe kwa wewe mfanyabiashara unayetaka kununua machine ya receipt EFD. Sasa ukitaka machine huna haja ya kulipa laki 8 yote unaweza...
Wakuu Sina mengi Sana ya kuwachosha nahamia dar nikaanze maisha kwa bahati Mbaya sijui Bei za vyumba vya kuishi na Bei za frame za biashara.
Mwenye uzoefu wa Bei aje anipe Bei zake ili niendelee...
*Kiwanja kinauzwa*
, kipo eneo la MANISPAA YA MOROGORO, KATA YA KIHONDA, MTAA WA NGUVU KAZI, KIMEPIMWA
SQ 800M , sawa na Urefu hatua 40 upana Hatua 20.
*Bei SHS. 3.5M* ,
Kipo umbali wa 1.5km...
Mm ni fundi pancha napatikana mbagara dar natafta mtu wa kushirikiana nae kufanya biashara ya oil za magar na pikipk na tyre service ofisi center nishapata na mtungi ninao na ninauzoefu wakutosha...
☑ Meno kuuma.
☑Fizi kuvimba
☑Meno kuoza
☑Meno kutoboka
☑Harufu mbaya/ganzi
☑Dawa hii inasadia kukausha vidonda na majeraha ya kuungua au kujikata.
☑Pia inag'arisha meno yenye rangi rangi au suka...
Je unataka/una mpango wa kujenga nyumba ya gharama nafuu kwa kutumia vifaa vinavyopatikana hapa nchini na nje ya nchi?Je unahitaji nyumba ambayo baada ya kuijenga gharama za uendeshaji ikiwemo...
Kama Tangazo lilivyo hapo juu nipo tayari kuwasambazia wateja wangu mafuta ya alizet kwa ujazo wa lita tano ikiwa na ubora mzuri kwa wale mliowahi kutumia fresh oil singida ndio hiyo bei ni...
Habari wakuu,
Nahitaji drum ya photocopy machine(Kyocera Taskalfa 520i),maana nimeulizia sana kwa mafundi wa photocopy machine naona bei zao ni kubwa sana,kama kuna mtu anamjua dealer wa Kyocera...
Naitwa makoko msaghu nipo dsm na supply asali ya nyuki wadgo ndani ya nchi na nje ya nchi kwa naanzia robo Hadi little kuuza karibu weka order yako Sasa upate asali Safi na nzuri purely naturally...
Je,unataka kujifunza na kufanikiwa katika biashara?
kama jibu ni ndiyo tutumie namba yako P.M au kwenye namba 0766444050(whatsapp) uunganishwe kwenye group ya B.E.G ufundishwe biashara na walimu...
Kwa huduma kudesign na kuprint Business cards, Flyers, Brochures, Poster, Mabango, Tshirts na Mifuko kwa bei nafuu, Afripoa ndio suluhisho lako. Pia tunadesign na kuprint service cards, receipt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.