habari wadau.
nauza mashine ya kufua.. aina ya von hotpoint.. size 15kg kwa laki 6..
size kubwa inafua mablanket, mapazia makubwa bila shida..
inafaa sana kwa watu wenye familia kubwa, wenye...
Kiwanja kina Hati, ukubwa sqm 1828, Kibada block 23 -Kigamboni. Kinafaa kwa shughuli ya biashara, makazi n.k.
Bei ni 110 M. Maelewano yapo. Mawasiliano 0713629999
KILA MWANAMKE AJICHUNGUZE MAENEO YAKE YA UZAZI.
[emoji654]Kila mwanamke anapaswa ajichunguze Kila siku maeneo yake ya uzazi.
Vile vile kuchunguza nguo zako za ndani unapokuwa unaivua siku hiyo...
IPO Samsung inchi 50 Laki Tisa na nusu tu
Lg nchi 42 Laki saba na nusu
IPO Mr UK nchi 24 Laki mbili na kumi IPO
chogo Laki moja na 30 nchi 21 IPO na chogo nchi 24
Sub woofer Laki moja ina...
Camera Nikon D610 used ipo kwenye hali nzuri haina tatizo lolote kwa 2M Tshs tu. Ina grip, Unapewa na lens ya 24-70mm f 2.8 pamoja na extra battery bure. Napatikana sinza, kwa mawasiliano piga...
Kuna eneo, linafaa kwa ujenzi wa shule
Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Linauzwa
Umbali =29km tokea ferry
Ukubwa = Takriban eka 10
Umeme = Nguzo 6 unafikia
Maendelezo= Kuna banda la vyumba 2 na frem...
Tuna uza vitanda vya chum, magrill, madirisham tv showcase, dressing table na stand za viatu kwa bei nafuu kabisa. Ofisi zetu zipo Morogoro, Kihonda- barabara mpya karibu kabisa na duka la vifaa...
Solarpark bag inauzwa ipo kwenye hali nzur sana bado ni mpya inafaa kwa matumiz ya taa hasa sehem zisizo na umeme au kwa mambo ya utalii ni bag la mgongoni hii solar ina taa tatu adapter na...
specifications
RAM 1GB MEMORY 16 GB
ANDROID VERSION 7
cpu 1.3 GHz
PRICE 150000/=
simu ina kaa na chaji kwa muda wa saa 13 kama ukiwa unatumia non stop kwa masaa hayo
SIMU ILINUNULIWA...
Wadada hii ni yenu biashara biashara tunauza pochi nzuri sana za culture kwabei nafuu .
Tunapatikana arusha
Pochi kubwa elfu 30000
Ndogo za saizi elfu 15000
Ndogo kabisa elfu 10000
Pia tunauza...
Wadau nauza compressor hiyo niliinunua kwa ajili ya kufunga kwenye mashine yangu bahati mbaya imekuwa ndogo haina nguvu ya kusukuma machine, ninaiuza ili nami niongezee ninunue compressor ya dungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.