Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naomba msaada wa kunitaftia pooltable syo lazma liwe jipya hata used mm nanunua ili mradi tukubaliane bei
0 Reactions
9 Replies
2K Views
HABARI ZENU WANA JAMII FORUM NAUZA GRASS PROTECTORS KWA JUMLA 5D 10D 11D 21D BEI ZETU NI NAFUU SAANA POPOTE ULIPO TUTAKUTUMIA CALL :+255755822636 WHATSAPP :+255755822636 INSTA: MUDDY_GT
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina imani mu wazima, naweza wapi kupata adapter ya laptop mpya kwa Dar es Salaam na anejua bei tafadhali
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Za asubuh wadau, kwa wale wapenda michezo hususani mpira,, nilikuwa naomba mwenye sehemu ya wazi au banda linalofaa kwa ajili ya kuoneshea mpira tuwasiliane kwa namba 0715058481 niweze kukodi hama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwema Wana Jf Nimetingwa Kidogo, Nahitaji Pesa. Nauza Laptop Yangu Toshiba C660 Specification: Processor: Core i3 (2.4Ghz) RAM: 2GB HDD: 320GB Screen Size: 15.6 Battery Life: 1 Hour Tatizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wadau Napenda kuwakaribisha wadau wote kua tunatoa huduma bora za ufundi bomba plumbing & pipes fitting,s kwa ubora wa halo ya juu pia mfumo wa maji moto na baridi, na Drainage system kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, mwenye nayo au anaejua nitaipata wapi tuwasiliane... Nimeambatanisha picha.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu nahitaji kupata mkulima au supplier ambaye atakubali kuniuzia maparachichi mazuri na kwa bei isiyo nzuri. Awe na vigezo vifuatavyo. 1. Uwezo wa kuuza parachichi kwa makubaliano ya bei...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji mabati mwanza kama wewe ni wakala wa ALAF ,tuwasiliane niko mwanza Buhongwa
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Tunauza madera ya kutoka mombasa na yenye mitandio mikubwa. Bei ni Tsh 14,000/= Tupo Dar 0659469663
1 Reactions
23 Replies
13K Views
Nauza kuku wakubwa aina ya Kroila wapo 20(jogoo tupu)., Wana Miezi 4. Kienyeji pure, (jogoo tupu) wapo 10, Miezi 6.5 Nauza wote kwa jumla. Niko bunju B, Dsm Cm: 0757891894. Nb. Kuku ni wakubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rav4 Short iyo ina hali ya upya kabisa haijawai kugongwa wala kurudiwa rangi ni ya mwaka 1997 kilometa 112,000 ina engine ndogo cc 1,990 na tumefunga matair yote mapya bei ni 7.5m 0714787795
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu Nyumba ya kupanga inapatikana buza kanisani Nyumba ni Chumba kimoja cha kulala self contained,na sebule Mpangaji ni mmoja tu na mwenye nyumba Nyumba haina makelele ni tulivu mno Kodi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua namna ya kuzipata Gari canter used kutoka Malawi. Hasa zile multipurpose ambazo unaweza ukazitumia kusombea na mchanga.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wanafamilia wenzangu wa Jamii forums, bila shaka ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kulijenga Taifa letu. Kama tangazo linavyojieleza hapo juu, nyumba ina jumla ya vyumba 3...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JIPATIE BRAND NEW XIAOMI REDMI NOTE 7 YA GB 64 KWA 500,000 YA GB 128 KWA 600K. CAMERA - 48 MP RAM - 4 -6 GB BATTERY - 4000mAh WITH FAST CHARGER USB TYPE C BIDHAA ZOTE ZIKO SEALED NA MAELEWANO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ina bakuli la ujazo wa kilo 3kg. Kwa wajasiriamali wa viungo vya chakula, vinywaji kama kahawa, cocoa na majani makavu, wauzaji wa butter, unga wa lishe na dawa za mitishamba/herbals hii si ya...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Nauza Simu Samsung Galaxy J5 Simu ipo katika hali nzuri Chaji siku nzima ukiwa umewasha data Camera Mp 13 Android 6.01 Storage 16 Gb phone comes with a 5.00-inch touchscreen resolution of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…